Dar: Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20

Watu wachache sana wamesababisha msaafa, mpaka sasa wapo uraiani wanapiga mvinyo huku wanasubiri sakata lipoe waanzishe dili lipya. Kumbuka bila madili mjini hakuishiki
Ajabu sana,afu mi nilitegemea Kuna watu watachukuliwa hatua za kisheria mapema sana,lakini hat speak ya uyu mama haionyeshi ilo kama limefanyika
 
Achana TU na Milion 700,Maonyesho yanakuwaga mengi sana kipindi cha Sherehe ila likitokea janga sijui wanakuwa hawaoni
 
Siku ya Tano watu wanateseka tu kwenye kifusi halafu yeye anaenda kwenye kusanyiko lao huko brazili ambalo hakuna hata kimoja chenye tija alichoambulia .
 
Kuhudhuria msiba au kuhani msiba...kupanga ni kuchagua
 
Kuhudhuria msiba au kuhani msiba...kupanga ni kuchagua
Ni vema zaidi kuweka jitihada zetu wakati mtu yupo hai, ukimchangia mgonjwa elfu 10 ya matibabu ama usimchangie kabisa, ila kwenye umauti wake ukatoa laki 2 haileti picha nzuri.

Aliimba hasan bitchuka na mwenzie shaban dede kwenye ngoma yao ya nani kauona mwaka kama sikosei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…