Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Wasafi hawakuchanga vizuri karata zao katika hili jambo, kama lengo lilikuwa ni kujibu mapigo kwa dogo ilipaswa picha zivujishwe bila wao kujihusisha dhahiri....mambo yakishavuma ndipo angejitokeza Vanny na waraka wake wa kumkanya nduguye huyo.
Na sio kama walivyofanya kuvujisha mambo live!
 
Unamshangaa binamu wakati amesikia mmakonde ana mguu wa mtoto unadhani kwa mmakonde anafagilia nyimbo basi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]nimekuelewa sasa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Video haziwezi kufutika mkuu,damage is done, i agree with you though walichofanya gang la wasafi sio vizuri,is high time wamlipe Kondeboy kwa damage waliyofanya,
Kosa linaanzia kwa Harmonize msiangalie upande mmoja tu
Iliwezekana vipi akarekodiwa bila hidhini yake??
 
Na hivi binamu umesikia konde ana mguu wa mtoto lazima umtetee, Binamu vipi lakini maana siku nyingi kweli kweli, Binamu zima taaa!

Ahahah Jaman Wanazengo mshaanza nongwa[emoji23][emoji23], mtu kawazid muhogo, kama mange alivyosema dudu ya harmonize ni uunganishe dudu za wanaume wa wasafi wote ndo upate ya harmonize lazima wapate stress[emoji23][emoji23]

Harmonize wangu mwanaume buana [emoji23][emoji23], wanamuonea wivu kabarikiwa chini
 
Mange ameziona dudu za wanaume wote wa wasafi?
 
Tuangaliege na wanawake wa kuzaa nao.Hii vita anaumia zaidi ni Paula,japo mwenyewe na mama yake hawajui.

Halafu Majani mwenyewe hana time ndio kwanza leo anaitangaza project mpya ya Raptcha.
View attachment 1752833

Sasa Harmo anaenda mahakamani,kama Ray akisema kazipata kwa Paula,halafu Paula wakambana akazionyesha na yeye si anakuwa na kesi ile ile kama ya Rayvanny ya kusambaza picha za uchi wake.
P funk anavumilia makubwa sana kama ni kweli Paula katumiwa hizo video na anakazwa na Harmo, hivi viatu ni vizito mno
imagine usikie mama mtoto wako pamoja na binti yako wanaliwa na jamaa fulani alafu baadae usikie jamaa kamtumia binti yako videos za mjulubeng aisee!!!!
 
Kijeba hajamla Paula. Kaishia kudhalilika
 
Wasafi hawakuchanga vizuri karata zao katika hili jambo, kama lengo lilikuwa ni kujibu mapigo kwa dogo ilipaswa picha zivujishwe bila wao kujihusisha dhahiri....mambo yakishavuma ndipo angejitokeza Vanny na waraka wake wa kumkanya nduguye huyo.
Na sio kama walivyofanya kuvujisha mambo live!
Kweli hawakutumia akili, hafu mwanaume kuvujisha video za uume wa mwanaume mwenzako ni ujinga uliokithiri aisee. Kumbe wasafi ni wajinga na Bora konde kashtaki police na Sasa video ikivuja nyingine wao ndo wahusika. Kwa hili Jambo wasafi wamekuwa wajinga, na huyo baba levo kubwa jinga to much kuropoka.
N. B Mimi sio shabiki wa hzo team mbili
 
Mwanaume kutaka mwenzio afungwe miaka 30 ndio ujanja au sio
 
Yule mfuga nywele, mlegeza macho na mpaka lip shine akili aliweka mfukoni ngoja aonje joto ya jiwe
 
Upande mwingine harmo nae kiazi kama viazi vitamu vya Runzewe, hivi celebrate gani anabehave kama chokoraa, hapa naanza kuona tatizo la kimalezi na nadiriki kusema wasanii wengi Tanzania japo sio wote wametokea familia za hovyohovyo
 
Back
Top Bottom