Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

WCB wana lao jambo, hii issue iko planned, and they knew it all before, ko si ajab hawashangai konde kwenda police, wanajua how wanakabiliana nae , msione rayvanny Yuko pekeake but trust kuna team kumbwa behind him..
 
Wasurubishweee..eee..eee......wasurubishweeeee!!!!!!!.......wasurubishwe.
 
Hapa ukute wenye vibamia wengi wanamchukia Harmonize.

Harmo kidume kweli kweli.
Kuna nini huko duniani rafiki nikupende?

Ndio nazeeka au mbona sijui yanayojiri huko dasilamu
 
Wenye vibamia poleni.
Mungu kambariki visenti na chini.

Kwa kweli msimuonee wivu kijana.
😂umejuaje jamaa ana kibamia ?. ila tayari washabalikiwa pesa, wadada wengi mnasema wenye vibamia wana pesa
 
Back
Top Bottom