Dar: RC Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi kwa Manispaa ya Ubungo

Maneno ya RC yafanye ndiyo ya Rais kwa wale wanaopinga bandari isiendelezwe.

Kazi kwenu.
 
Manispaa ya Ubungo ndiyo yenye dhamana ya kuanzisha, kuunda na kuendesha Masoko na Magulio. Hii ni kwa mujibu wa Sheria Ndogo (Masoko na Magulio) ya Manispaa ya Ubungo ya mwaka 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…