Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

nilisoma sent kayumba. lakwanza mpaka chuo, nika piga master ya kata , doct ya wilaya, mitizamo hasi wala sikuwahi kuipa nafasi katika maisha yangu, mi siandiki nisilolijua au nisilokuwa na hakika nalo
Naona imekuchoma sana huenda ww ni polisi.
Acha wafe tu sbb wamejaa makasi kwenye vichwa vyao. Hapo kulikuwa hakuna haja ya kutumia bunduki. Ujinga unaowasumbua nyinyi mnafikiri ukivaa hayo manguo hamuwezi kufa na unahisi dunia yote yako. Damu ya Akwilima bado inawalilia.
Pambafu sana. Ukitaka kuona walivyo na makasi kwenye vichwa vyao sikiliza majibu yao.
 
hawa maskari wa kushusha hela wanajifanyaga wababe sn nakumbuka cku npo makumbusho walikuwa wanashusha hela mbele yng kulikuwa na mdada akapita nami nikapita njia iyo iyo nashangaa jamaa akaja nipiga na kitako cha bunduki tumboni aiseee mara wanze nitukana kwakuwa waliku washanilengea mitutu yao nikawa mpole tu
Sijui yale magwanda yana nn!! Po..lis ni ndugu zetu lakini vichwani mwao ipo shida.
 
Hawa polisi wetu wawe wanapelekwa porini uko angalau mara 1 kwa mwezi wakafyatue risasi mpaka wachoke maana naona wengi wao wamechoka kuzibeba kila siku wako doria na lindo na hawajawahi kuzitumia ndio matokeo yake haya jambo ambalo wangeweza kuliongea wameishia kuuana kibwege tu nimeshuhudia mara nyingi polisi wakitumia silaha sehemu ambayo wangeweza kupata maridhiano kwa njia ya kawaida.
Inaudhi sana mkuu..hata huyo jamaa aliemfuata huyo mwana jeshi naamini hekima ingetumika wasingefika huko.
Shida ni hiyo silaha mkononi...
 
Bora wauane tu waishe wote. Tubaki ss raia.
Hawa polisi na wanajeshi huwa siwakubali hata siku moja. Wanakauli chafu na wanatumia ubabe.
Kwan ukimwambia mtu kiustarabu unapungukiwa nini mpaka umkaripie? Mwanajeshi na polisi ni vitengo tofauti na mwanajeshi siku zote huwa anajiona juu.
Ni sawa ukutane na dogo mtaani akuambie ww toka hapo? Hata ningekuwa mjeshi pilisi hawezi kunikaripie kijinga hivyo.
Sure, ni kama una hoja nzuri.
 
mkuu nimeamini uko vizuri katika mtizamo maana kwaharaka haraka mie najua yule mwanajeshi hakuvaa uniform coz najua picha nzima ila watz kwakushadadia wakwanza hata ka jambo hawalijui pili wakati wa kuweka ni amri moja hakuna mtu kwenda kutoa so mbona wengine walitiii? kwani angetii angepata hasara gani? tatizo ni kupenda kujikwaza kusiko kuwa na tija kapata ulemavu pia ajira yake ipo rehani
Kumbe hata hakuwa na uniform!!, alitakiwa kupigwa risasi nyingi sana, raia tu umevaa manguo yako ya kuhini huni unathubutuje kushika silaha ya askari?!, mimi nikimuona kavaa hilo li aka 47 huwa nawapisha mbali.
 
Kwa tulioiona ile clip ya askari wa SUMA-JKT akihojiwa, ni wazi kuwa hawa polisi waliuana Wenyewe. Lakini akihojiwa huyo aliempiga mwenziwe risasi basi bila shaka atasema kuwa jamaa alitaka kupora silaha.
 
Nimesikitishwa sana na michango ya watu wengi kuhusu hili suala, hata baadhi ya watu ninaowaheshimu kabisa hapa jamvini.. Wengi wanampendelea mwanajeshi na kumponda polisi, labda ni kwa sababu ya kuwachukia tu polisi, uhalisia unawekwa pembeni, ni hivi wakuu, wakati huo wa kuweka pesa, hakuna mtu anaruhusiwa kuwepo eneo hilo, hata kama ni mwanajeshi, kwani mwanajeshi sio binadamu? Hawezi kupora pesa na kutokomea nazo? Wakati wa tukio hilo amri ni moja tu, anaekaidi anatakiwa kuchukuliwa hatua mapema, maana anaweza akawa jambazi, majambazi wengi wamefanya uharifu wakiwa na uniform...

Hata hivyo, ninakubali hoja moja, polisi hawana weledi mzuri, hakutakiwa kumsogolea katika kiasi cha yeye kuishika silaha, alitakiwa amtandike risasi akiwa mbali... Huyo mwanajeshi anatakiwa afukuzwe kazi na apelekwe mahamani.
Naomba kuuliza,hivi police angemsubiri huyo raia akamaliza muamala wake,halafu akazuia wengine wasiongezeke kwenye ATM hadi watakapomaliza kazi hilo lisingekuwa la busara mkuu?

Hao maafisa wa bank walikuwa tayari kupokea pesa kwenye ATM,usalama wa wateja wao kuwa wasubiri kwanza huwa hawawezi kuliganya hilo.

Aliyefyatua risasi alikuwa analinda ile silaha isilete madhara kama angenyanganywa.

pia police hakutakiwaa kumuelekezea mtutu raia asiye na silaha.
 
Najaribu kufikiria tu.. Mwanafunzi kichwa ngumu toka shule ya kata Manzese, akapata Division IV-30, mjomba akamfanyia mpango akaenda CCP miezi 9,halafu akakabidhiwa SMG iliyojaa risasi alinde usalama wa raia
Uwezo wake wa kuhimili taharuki yoyote akiwa na silaha hiyo utakuwaje? Tunahitaji reform kubwa mno kwenye jeshi la polisi!
 
Juzi tu hapa walipigana wenyewe risasi wakimhofia bodaboda, ila huyo mwanajeshi angeondoka tu kwani wao walikuwa kazini, na wasingeweza kujua kama yeye ni mwanajeshi kweli au ni Jambazi
 
Huyu polisi alistahili kuuawa. Hakuwa na uwekedi was kazi yake. Hongera mJWTZ. Uneonyesha uelewa wa kazi yako na ushupavu wa medani ya vita. Hawa RAIA wakakamavu (polisi) ni shida tupu. Yaani wapo 2 wakiwa na silaha wanapambana na JWTZ mmoja asiye na silaha na wanaishia kujiua wenyewe! Hovyoo, wavuta bangi wetu na vyeti feki.
 
Kumbe hata hakuwa na uniform!!, alitakiwa kupigwa risasi nyingi sana, raia tu umevaa manguo yako ya kuhini huni unathubutuje kushika silaha ya askari?!, mimi nikimuona kavaa hilo li aka 47 huwa nawapisha mbali.
Mr. Huwa kuna utaratibu mpaka mtu kupigwa risasi.
Ni hivi
Mjeda baada ya kugoma. Huyu polisi angemuuliza ww ni nani mpaka ugome kufanya nilichokuamuru.
Mjeshi. Angejieleza na hapo ilikuwa lugha ya kiungwana tu. Hapo ninaweza kusema oyaa mwana. Tupishe kidogo tufanye fasta fasta si unajua haya mambo ya hela? Tusamehane. Mjeda angeelewa.
AU
Mjeda angegoma. Angeambiwa mikono juu na usijitingishe simama hapo hapo ulipo. Lala chini kifudi fudi, weka mikono nyuma. Hapo watu km 2 wangemfuata na kumfunga pingu. Km angekataa vyote hapo wangempiga risasi.
N.B
Kuvaa nguo za nyumban hakuwezi kukushusha cheo usionekane mjeda.
Tatizo watanzania waoga sana. Mm huwa natamani sana ningezaliwa Libya, Somalia au Syria nikajiunga na ISIS au Al-shabab
 
duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
Mafunzo yao yanatofautiana ndugu [emoji30] [emoji30]
 
...Tatizo la mapolisi wetu ni poor approach na kuweka mbele ubabe, hivi wangesema samahani ndugu tunaomba mkae mbali kidogo ili wahusika wajaze fedha, tupeni dakika kumi tuu, angetaa? Wao kwa kuwa kabeba mtutu ni utemi tuu. Pili polisi hawako makini, why umlenge mtu na mtutu?
 
duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
We hujui lugha za polisi zilivyo? Ni za maudhi na dharau kubwa. Sasa kwa nini umdharau anayeshinda porini? Mimi namfagilia mwanajeshi kwa ujasiri ingawa sifurahii kifo cha Kulwa.
 
Hivi FFU Ukonga si ndio huwa wanatumiwa kupiga watu mitaani na kuwamwagia maji washa?
 
Maaskari wawili wenye silaha wameshindwa kumthibiti mwanajeshi na kupelekea askari mmoja kupoteza maisha

Maafande watofautishe mafunzo ya ccp na monduli
...Wajeda wako very well trained na wana Mazoezi, nimewahi pia kushuhudia police wanne wakishindwa kumdhibiti mwanajeshi mmoja tuu. Police wako vizuri kuonea raia tuu.
 
Kulikuwa na ulazima Polisi kutumia Bunduki kwa mtu aliye mikono mitupu?

Unajua sheria za matumizi ya Bunduki?

Kuna siku nipo kwenye gari nikapishana na Polisi wakiwa kwenye Defender huku Bunduki wakiwa wamezielekeza mbele utadhani kuna adui wanamlenga,
Nikajiuliza pale ikitokea kabofya Triger bahati mbaya risasi ikafyatuka na kuua mtu itakuaje?
Hapa Tabora juzi askari ameshuka kwenye akiwa ameilekeza bunduki mbele. Mimi ikabidi nimwambie deteva aongeze mwendo maana bunduki isije kufyatuka ikatuua.
 
We hujui lugha za polisi zilivyo? Ni za maudhi na dharau kubwa. Sasa kwa nini umdharau anayeshinda porini? Mimi namfagilia mwanajeshi kwa ujasiri ingawa sifurahii kifo cha Kulwa.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom