Naona imekuchoma sana huenda ww ni polisi.nilisoma sent kayumba. lakwanza mpaka chuo, nika piga master ya kata , doct ya wilaya, mitizamo hasi wala sikuwahi kuipa nafasi katika maisha yangu, mi siandiki nisilolijua au nisilokuwa na hakika nalo
Sijui yale magwanda yana nn!! Po..lis ni ndugu zetu lakini vichwani mwao ipo shida.hawa maskari wa kushusha hela wanajifanyaga wababe sn nakumbuka cku npo makumbusho walikuwa wanashusha hela mbele yng kulikuwa na mdada akapita nami nikapita njia iyo iyo nashangaa jamaa akaja nipiga na kitako cha bunduki tumboni aiseee mara wanze nitukana kwakuwa waliku washanilengea mitutu yao nikawa mpole tu
Inaudhi sana mkuu..hata huyo jamaa aliemfuata huyo mwana jeshi naamini hekima ingetumika wasingefika huko.Hawa polisi wetu wawe wanapelekwa porini uko angalau mara 1 kwa mwezi wakafyatue risasi mpaka wachoke maana naona wengi wao wamechoka kuzibeba kila siku wako doria na lindo na hawajawahi kuzitumia ndio matokeo yake haya jambo ambalo wangeweza kuliongea wameishia kuuana kibwege tu nimeshuhudia mara nyingi polisi wakitumia silaha sehemu ambayo wangeweza kupata maridhiano kwa njia ya kawaida.
Sijui yale magwanda yana nn!! Po..lis ni ndugu zetu lakini vichwani mwao ipo shida.
Sure, ni kama una hoja nzuri.Bora wauane tu waishe wote. Tubaki ss raia.
Hawa polisi na wanajeshi huwa siwakubali hata siku moja. Wanakauli chafu na wanatumia ubabe.
Kwan ukimwambia mtu kiustarabu unapungukiwa nini mpaka umkaripie? Mwanajeshi na polisi ni vitengo tofauti na mwanajeshi siku zote huwa anajiona juu.
Ni sawa ukutane na dogo mtaani akuambie ww toka hapo? Hata ningekuwa mjeshi pilisi hawezi kunikaripie kijinga hivyo.
Kumbe hata hakuwa na uniform!!, alitakiwa kupigwa risasi nyingi sana, raia tu umevaa manguo yako ya kuhini huni unathubutuje kushika silaha ya askari?!, mimi nikimuona kavaa hilo li aka 47 huwa nawapisha mbali.mkuu nimeamini uko vizuri katika mtizamo maana kwaharaka haraka mie najua yule mwanajeshi hakuvaa uniform coz najua picha nzima ila watz kwakushadadia wakwanza hata ka jambo hawalijui pili wakati wa kuweka ni amri moja hakuna mtu kwenda kutoa so mbona wengine walitiii? kwani angetii angepata hasara gani? tatizo ni kupenda kujikwaza kusiko kuwa na tija kapata ulemavu pia ajira yake ipo rehani
Naomba kuuliza,hivi police angemsubiri huyo raia akamaliza muamala wake,halafu akazuia wengine wasiongezeke kwenye ATM hadi watakapomaliza kazi hilo lisingekuwa la busara mkuu?Nimesikitishwa sana na michango ya watu wengi kuhusu hili suala, hata baadhi ya watu ninaowaheshimu kabisa hapa jamvini.. Wengi wanampendelea mwanajeshi na kumponda polisi, labda ni kwa sababu ya kuwachukia tu polisi, uhalisia unawekwa pembeni, ni hivi wakuu, wakati huo wa kuweka pesa, hakuna mtu anaruhusiwa kuwepo eneo hilo, hata kama ni mwanajeshi, kwani mwanajeshi sio binadamu? Hawezi kupora pesa na kutokomea nazo? Wakati wa tukio hilo amri ni moja tu, anaekaidi anatakiwa kuchukuliwa hatua mapema, maana anaweza akawa jambazi, majambazi wengi wamefanya uharifu wakiwa na uniform...
Hata hivyo, ninakubali hoja moja, polisi hawana weledi mzuri, hakutakiwa kumsogolea katika kiasi cha yeye kuishika silaha, alitakiwa amtandike risasi akiwa mbali... Huyo mwanajeshi anatakiwa afukuzwe kazi na apelekwe mahamani.
Mr. Huwa kuna utaratibu mpaka mtu kupigwa risasi.Kumbe hata hakuwa na uniform!!, alitakiwa kupigwa risasi nyingi sana, raia tu umevaa manguo yako ya kuhini huni unathubutuje kushika silaha ya askari?!, mimi nikimuona kavaa hilo li aka 47 huwa nawapisha mbali.
Mafunzo yao yanatofautiana ndugu [emoji30] [emoji30]duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
...Tatizo la mapolisi wetu ni poor approach na kuweka mbele ubabe, hivi wangesema samahani ndugu tunaomba mkae mbali kidogo ili wahusika wajaze fedha, tupeni dakika kumi tuu, angetaa? Wao kwa kuwa kabeba mtutu ni utemi tuu. Pili polisi hawako makini, why umlenge mtu na mtutu?duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
We hujui lugha za polisi zilivyo? Ni za maudhi na dharau kubwa. Sasa kwa nini umdharau anayeshinda porini? Mimi namfagilia mwanajeshi kwa ujasiri ingawa sifurahii kifo cha Kulwa.duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
...Wajeda wako very well trained na wana Mazoezi, nimewahi pia kushuhudia police wanne wakishindwa kumdhibiti mwanajeshi mmoja tuu. Police wako vizuri kuonea raia tuu.Maaskari wawili wenye silaha wameshindwa kumthibiti mwanajeshi na kupelekea askari mmoja kupoteza maisha
Maafande watofautishe mafunzo ya ccp na monduli
Hapa Tabora juzi askari ameshuka kwenye akiwa ameilekeza bunduki mbele. Mimi ikabidi nimwambie deteva aongeze mwendo maana bunduki isije kufyatuka ikatuua.Kulikuwa na ulazima Polisi kutumia Bunduki kwa mtu aliye mikono mitupu?
Unajua sheria za matumizi ya Bunduki?
Kuna siku nipo kwenye gari nikapishana na Polisi wakiwa kwenye Defender huku Bunduki wakiwa wamezielekeza mbele utadhani kuna adui wanamlenga,
Nikajiuliza pale ikitokea kabofya Triger bahati mbaya risasi ikafyatuka na kuua mtu itakuaje?
[emoji106] [emoji106] [emoji106]We hujui lugha za polisi zilivyo? Ni za maudhi na dharau kubwa. Sasa kwa nini umdharau anayeshinda porini? Mimi namfagilia mwanajeshi kwa ujasiri ingawa sifurahii kifo cha Kulwa.