Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Zimbabwe.Hii Tanzania inaelekea wapi sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimbabwe.Hii Tanzania inaelekea wapi sijui
Wenyewe (Wanajeshi) wanawaita Polisi RAIA WAKAKAMAVU, Haitatokea kamwe Polisi na Wanajeshi wakawa MARAFIKI...Trust me mkuuTatizo askari wa bongo ni very unprofessional... Hapo ukute hawakutumia ustaarabu kumtimua huyo mwanajeshi (tena hii nshawah kushuhudia), wanakua kama wanakukaripia wakat wewe hujui kinachoendelea hapo, sasa mjeshi kaona anadharauliwaje mchana kweupe tena na polici!!
Hahahaaa...never happen hiyo mkuu, mtu hata kumlenga adui kashindwa kaishia kuua mwenzake!Wenyewe (Wanajeshi) wanawaita Polisi RAIA WAKAKAMAVU, Haitatokea kamwe Polisi na Wanajeshi wakawa MARAFIKI...Trust me mkuu
Kulikuwa na ulazima Polisi kutumia Bunduki kwa mtu aliye mikono mitupu?Huyu mwanajeshi ndiye chanzo cha yote hana nidhamu kabisa na hatumii ajili,anastahili adhabu
Tutarajie kisasi cha wajeda baada ya mwenzao kujeruhiwa....Huyu mjeda atasevu kweli?..sidhani.
Ni Risasi za polisi wa tanzania pekee ndo zinakata kona...!Nasikia risasi zinakata corner angani. Labda ndo hivyo jamaa Kamlenga soldier ikakakata corner kuelekea policeman. Lakini ndo hivyo tena