Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Mwanajeshi alikuwa na sare au la? hata hivyo alipaswa kutii amri iliyotolewa! nasikia aliesababisha hayo anashitakiwa kwa kusababisha kifo!! jamani hizi kazi busara muhimu!!

Wakati huo aliyempiga risasi Akwilina anakula bata.
 
Huyo mwanajeshi hakutumia busara angejifanya mjinga yaishe hata kama hakumaliza shida zake SINZA ATM ziko nyingi wale wako kazini angetii tu haijalishi hata km wamemkaripia
 
Huyo mjeda alikuwa amevaa uniform au kiraia tu?
 
Ukiajili wasomi hawadumu hio Kazi inachangamoto nyingi,kufanya Kazi mda mrefu ,Kazi za risk, amri haitakiwi kuhojiwa ni kutekeleza tu.hivo utendaji utakwama.We si unaona baadhi wasio na busara upiga watu wasio hata na hatia kama nyoka vile,mtu hana silaha,keshazibitiwa yuko chini ya ulinzi anapigwa km mbwa na hakuna ushahidi Kama alikuwa sehemu ya maandamano sasa Kwa msomi hawezipiga MTU kama mbwa.
 
Pole nyingi zikufikie mwanajeshi...
Hao wapuuzi wanafikiri kila mtu ni Nape.
Mola akujalie wepesi kwenye majeraha uliyo pata.
NB:Wanajeshi naomba muwashughulikie hao wahuni wanao tumia vibaya bunduki zao.
 
Daaaah pole sana mwanajeshi na sijui kwanini hakumnyanganya kabisa ile bunduki na kulenga yule pimbi aliyekuwa amebaki kwenye gari nawachukia sana hawa mbwa wa kaki ***** zao narudia tena pole sana mwanajeshi Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Hao polisi walikupiga tigo sio maana sio kwa matusi hayo mkuu
 
Tatizo liko kwa benki zinazomiliki hizo ATM,kungewekwa utaratibu maalumu,muda na wakati maalumu wa kuweka pesa kwenye ATM,bila kuleta usumbufu wala madhara kwa watumiaji wa ATM na wapita njia.
Kwa mfano katika ATM zinazotakiwa kuwekwa pesa,kwa mda wa dakika kumi,kabla ya kuwekwa pesa,kungewashwa taa nyekendu,yenye maandishi ya Kuashiria,mtu asiyehusika asisogee eneo hilo mda huo.
Ikiwa ni mda wa kuruhusiwa kutumia ATM,iwe inawaka rangi ya kijani ,kubwa nje ya ATM,yenye maandishi ya kuruhusu kutumia huduma ya ATM au kupita eneo hilo.
 
kuna kila haja ya kuboresha mafunzo ya askari ktk majeshi yetu,idara ya polisi,jwtz n.k
huyo mjeshi alitakiwa kutii amri ya polisi kwa maana hali ya eneo lile lilivyokuwa na tahadhari!!tatizo hawa jwtz sijui wanajionaje wanajikuta wao ndo baaab kuuubwa hovyo tu si polisi wala jwtz...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…