Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Jeuri mwenzie ni dharau na ikizidi ujue inakuwa kiburi!...Pole mjeshi. tatizo nchi hii wanajeshi tunawachezea kama shemeji zetu, nadhani ametoa somo. wanajeshi waheshimiwe! wasichokozwe bila sababu. matokeo ya askari hata kulenga shabaha hajui! Wanajeshi wapewe heshima yao, wao hawakurupuki ktk mamuzi yao. nadhani alidharauliwa sana mpaka kuingia kwenye ugomvi huo. Upone haraka mjeshi urudi kulitumika taifa letu pendwa🙁
Ilitakiwa asepe... kuwa jeshi so kigezo cha kudharau wengine...kaajiriwa na analipwa vile vile..so wote wana umuhimu!
Kama ni kuonea raia wote ni hao hao tu...sema mazingira yanafanya polisi kukumbana zaidi na raia!
Lishamchachia....