Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Twende taratibu...nadhani wewe ndio hujasoma story vizuri....ama umesoma kwa kurukaruka..UMESOMA STORY VIZURI? UMEAMBIWA TOKA SEHEMU YA ATM WATU WANAWEKA HELA,UNALETA UJEURI NA KUMNYANG'ANYA SILAHA FFU KISA NI MWANAJESHI?
Ilikuwa hivi...
karibu na mashine hiyo, kulikuwa na askari wa JWTZ aliyekuwa akitaka kutoa pesa kwenye mashine
Kisha Polis wa hovyo...akafanya hivi..
Kisha mwanajeshi asiye na silaha akafanya hivi baada ya kuona anelekezewa mtutu wa bunduki..Kulwa alimfuata jamaa huyo akiwa na bunduki mkononi huku akimuelekezea
mwanajeshi huyo aliikamata na kuelekezea mtutu juu, jambo lililoonekana kuw
Sasa kwanza umedanganya eti Mwanajeshi alitaka kumnyang'anya silaha...
Polisi mtendelea kudharaulika iwapo hamtabadilika....naona hata majibu yenu huku yamejaa mihemko tuu