Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said njoo na jero nkupe mia tanoMie nitasema kitu kimoja kwa Askari Polisi wetu, waache ubabe.. Magwanda wanayovaa na silaha wanazoshika zisiwape kiburi na kuacha kutumia hekima na busara.. Wawe wanaongea na kuelekeza bila ya kuwawekea raia kibesi.. Kwa mujibu wa maelezo hapo juu, marehemu hakutumia kauli ya kibusara katika kumuelekeza huyo askari wa JWTZ.. Naamini angetumia kauli ya busara, basi angekuwa bado yupo hai.. Nimeshaona na mwenyewe kukutana na kauli za kibabe na kutisha toka kwa hawa Askari wetu..
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] lohHaya mambo ya kuleta ujuaji mwisho unaishia pabaya...huyo mjeda anajifanya mwamba usikute hapo atm alikuwa anatoa buku 10 tu
walituambia UN kuwa wanajeshi wetu wana mafunzo duni na ndo maana kila uchao wanauwawa kule Kongo!!Mimi binafsi nimeishi kota za jeshi nimekaa karibu na kambi ya jeshi ni watu wa hovyo sana kuna kipindi pale mbeya washawahi kuleta vurugu kubwa sana kituo cha polisi iliyopelekea barabara kufungwa,biashara za watu kuharibika n.k.!eti kisa mwenzao kakamatwa kwa sababu alikuwa akiendesha pikipiki pasipo kuvaa helmet!!na hakukamatwa peke yake..Wanajeshi mafunzoni kwao wanafunzwa kudharau kz ya polisi ndy maana huyo mjeshi alikana hiyo amri. Wajeshi ni mazwazwa haiwezikani upo kiraia alfu unaleta ubabe. Wajeshi wote ni mazwazwa, mfano mzuri naona kwa babu yangu ni zwazwa wa kutupwa.
Wewe umesikitishwa na michango ya watu wanao watetea wanajeshi ila hapo juu unawatetea polisi ,sasa shida ni nini kama kila mtu kaamua kuwa upande wake ?Nimesikitishwa sana na michango ya watu wengi kuhusu hili suala, hata baadhi ya watu ninaowaheshimu kabisa hapa jamvini.. Wengi wanampendelea mwanajeshi na kumponda polisi, labda ni kwa sababu ya kuwachukia tu polisi, uhalisia unawekwa pembeni, ni hivi wakuu, wakati huo wa kuweka pesa, hakuna mtu anaruhusiwa kuwepo eneo hilo, hata kama ni mwanajeshi, kwani mwanajeshi sio binadamu? Hawezi kupora pesa na kutokomea nazo? Wakati wa tukio hilo amri ni moja tu, anaekaidi anatakiwa kuchukuliwa hatua mapema, maana anaweza akawa jambazi, majambazi wengi wamefanya uharifu wakiwa na uniform...
Hata hivyo, ninakubali hoja moja, polisi hawana weledi mzuri, hakutakiwa kumsogolea katika kiasi cha yeye kuishika silaha, alitakiwa amtandike risasi akiwa mbali... Huyo mwanajeshi anatakiwa afukuzwe kazi na apelekwe mahamani.
Hilo jamaa kwenye avatar yako ndio lile lilikuwa linatumiwa na Michael Corleone kwenye ishu zake za kutoa watu roho ?Ninachowaza ni huyu polisi alikuwa kamnyooshea huyo mwanajeshi bunduki kutokea umbali gani, ukiangalia vizuri mwenye tatizo ni huyu polisi maana itakuwa alienda msukuma mjeshi kwa kutumia bunduki labda ndio sababu ya mjeshi kuamua ishika kuielekezea juu
Anyway niishie hapo
kutokana na hali ya eneo lile wale askari wana haki,katika mazingira kama hayo hatakiwi mtu yoyote kusogelea na hata kama atasogelea akipewa amri anatakiwa kutii asipotii tafsri yake ni kuwa yeye ni mharifu!!Wewe umesikitishwa na michango ya watu wanao watetea wanajeshi ila hapo juu unawatetea polisi ,sasa shida ni nini kama kila mtu kaamua kuwa upande wake ?
Hii dunia bana
Huo ni ukweli kabisa, umeelezea vizuri sana.Mwanajeshi amewatambua polisi na ndio maana hakua na wasiwasi kwakua alijiona yeye ni mwenzao (kuna msemo unasema meno ya umbwa hayaumani).. sasa inaonekana polisi walishindwa somo la utambuzi kwa mwanajeshi, nidhamu (kwa maana ya kutuliza temper) na silaha (wakati gani sahihi kuitumia).
mleta madaanakwambia mwanajeshi aliongea kiistaarabu na alihiitaji angeambiwa aondoke kistaarabu pia.
ukweli usiopingika, hawa vijana wadogo wadogo wa sirro wa intake za hivi karibuni hawana mafunzo mazuri.
ukiendelea kubisha utakua umedhamiria kubishana na sio kuelewa.
naam hawa jamaa some times wanazungumza kisiasa sijui..kutokana na hali ya eneo lile wale askari wana haki,katika mazingira kama hayo hatakiwi mtu yoyote kusogelea na hata kama atasogelea akipewa amri anatakiwa kutii asipotii tafsri yake ni kuwa yeye ni mharifu!!
mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,kosa la askari ni kumsogelea yule mjeshi, alitakiwa ampige risasi akiwa mbali!!
Akili zaidi inatakiwa itumike kwanza, si kutumia nguvu bila akili.kutokana na hali ya eneo lile wale askari wana haki,katika mazingira kama hayo hatakiwi mtu yoyote kusogelea na hata kama atasogelea akipewa amri anatakiwa kutii asipotii tafsri yake ni kuwa yeye ni mharifu!!
mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,kosa la askari ni kumsogelea yule mjeshi, alitakiwa ampige risasi akiwa mbali!!