Dar sasa iko tayari kumpokea Lissu kwa mikono miwili

Hapo mwanzo nilikuwa na wasiwasi na mwitiko wa mkoa wa Dar kuupokea ujumbe wa Tundu Lissu, niliuona kama mkoa ambao unaosuasua kuupokea ujumbe wa Lissu tofauti na huko mkoani. Lakini kwa utafiti wangu hasa wa wiki hii umenithibitishia kuwa Dar inaanza kuupokea ujumbe kwa kasi ya kutisha. Vijiweni vijana wameanza kuzungumzia kampeni ya Lissu.

Kuna mambo ambayo Timu ya kampeni ya Lissu wameyafanya sawasawa yamechangia kwa Dar kuanza kuamka nayo ni kama ifuatavyo:

1. Zile siku saba za kufungiwa Lissu ziliwafanya wana Dar wamfuatilie

Katika siku zile za kifungo, Lissu alizitumia kuzunguuka maeneo mbalimbali ya jiji, wananchi wa maeneo hayo wakamuona, hiyo likawa kama zinguo kwao kuwa kuna jambo la uchaguzi nchini linaendelea, watu wakaanza kupick interest, kusambaza taarifa. Kwa hiyo hii ikawaweka wana Dar kwenye receptive mode ya kutaka kujua zaidi kutoka kwake.
Uwepo wa Lissu dar kipindi hicho na ziara alizofanya, ni kama kupandikiza/kutega vimlipuko vidogo vidogo vingi ambavyo siku ya siku vikilipuliwa kwa pamoja kitu lazima kisambaratike!

2. Reverse advertising

Kosa moja ambalo chama cha mapinduzi wamefanya ni kutokuwa fair kwenye issue ya kuhodhi vyombo vya habari. Yaani kila siku ni kutangaza kampeni ya Magufuli, Sasa athari hii ya monopoly inapelekea kitu kinachoitwa reverse advertisement, yaani kila Magufuli asikikapo kwa sababu anaongea peke yake watu wanajua kuwa naye ana mpinzani wake aitwaye Tundu Lissu, Kila Magufuli aongeapo, watu at tje same time wanajua kuwa pia kuna mtu aitwaye Lissu ambaye hasikiki kwenye vyombo hivihivi vinavyomfanya huyu asikike kila siku. Kwa hiyo watu wanachukua juhudi zao wao wenyewe kumtafuta Lissu ili kumsikiliza.

3. Ujio wa Sheikh Ponda na kuvuka mipaka kwa bwana Alhadi

Mkoa wa Dar ni mkoa wenye waislamu wengi, Tangu Sheikh Ponda aje camp ya Lissu upepo umeanza kugeuka kwa kasi nchini na Dar kiujumla. Vijana wa Kiislamu niliowasikiliza wanasema wanakwenda na Ponda alipo.
Pia kauli ya Sheikh wa BAKWATA bwana Alhadi iliyotazamwa nchi nzima imewakera waislamu wengi sana, wengi wameamua kusumama na Ponda na hivyo kwenda na Lissu.

4. Wakazi wengi wa mikoani waishio Dar wameguswa na ziara za Lissu katika mikoa yao

Lissu amepiga kampeni serious nchi nzima, amekwenda sehemu nyingi sana za nchi, kila alipokwenda unakuta kuna wakazi wa maeneo hayo waishio Dar. Sasa hawa wakazi walioko dar wameguswa sana na ndugu zao wa maeneo watokako huko jinsi walivyompokea Lissu, watu wako emotional na mapokezi ambayo ndugu zao wamempa Lissu. Hebu tazama Lissu amekwenda hadi kwa Wamasai ndanindani huko, Amekwenda hadi vijiji ambavyo kiongozi mkubwa wa serikali hajawahi kukanyaga. Heshima aliyowapa wana Ukerewe ya kuvuka ziwa kwa boti. Akina mama wanavyompokea kwa kumtandikia Kanga na heshima zote za kichifu anazopewa. Vitu vyote hivi vinawagusa sana watu watokao maeneo hayo waishio Dar

5. Social media

Social media, whatsapp, Youtube, Facebook, Jamiiforums, Instagram hivi vitu kwa wakazi wa Dar ni kama vile oxygen. Fahamu kwamba kuna makundi ya watu katika jamii wanaitwa washawishi "Influencers". Hawa kwa asilimia kubwa wqna miliki vitu hivi, na kwa nature ya nchi yetu wako Dar (sababu ya mji mkubwa wa kiuchumi na serikali), Influencer mmoja ana uwezo wa kupata taarifa kiurahisi na kuzisambaza kwenye wigo wa eneo lake la ushawishi, kwa hiyo habari zinasambaa ama taratibu ama haraka kutokana na mazingira. Ni dhahiri sasa Dar imekuwa influenced vya kutosha kumpokea Lissu.
Wana Dar kupitia social media wanaona mwitiko wa wananchi wenzao wa mikoani walivyompoea Lissu, kwa hiyo nao wanashawishika

6. Kampeni za Ubunge na Madiwani zimeiamsha Dar.

Kila jimbo la uchaguzi Dar kuna kampeni za wabunge na madiwani zinaendelea, kote huku wana Chadema wanaendelea kuwasha moto, wanainadi Chadema na wanamnadi Lissu. Wana Dar sada wanatambua kuwa hii ngoma sasa mtoto hatumwi dukani, ngoma wameanza kwa kasi kuja camp ya Lissu

7. Ujumbe wa Lissu wa vitambulisho vya wamachinga umepokelewa positively na Wamachinga

Nimewasikiliza wamachinga wa Dar, wameupokea kwa nguvu ujumbe wa Lissu kuhusu kitambulisho kisicho na jina, picha, jinsia, saini na hata havikutolewa risiti. Wengi wameinyesha kumuunga mkono Lissu kwenye hilo suala la vitambulisho vya magumashi.

8. Confidence ya Lissu imerudisha Confidence ya wana Dar

Dar iliumizwa na flip-flop ya Lowasa, kitendo cha Lowasa kurudi CCM wakati wana Dar waliwekeza mtaji mwingi kwake kiliwakatisha tamaa sana. Walikuwa wanangoja waone mtu wanayeweza kumwamini kuwa huyu hawezi kuwaacha kwenye mataa. Sasa Tangu kampeni hizi zianze, upambanaji wa Lissu, ubishi wake, kujiamini kwake, Ujasiri wake vimeanza kuwafanya watu wa Dar waone kuwa huyu mtu ni "Real Deal"

Kwa hiyo kiufupi ni kwamba, Kimbunga cha Lissu kimeanza kuingia Dar kwa nguvu na nashauri kambi ya Lissu. Dar ipewe uzito wake unaostahili kwenye wiki hii ya mwisho ya Kampeni.

Dar ipigwe operesheni kali sana, yaani Machinery nzima ya Chama igeuzie mizinga Dar, ipigwe operesheni "ondoa udhalimu Dar" ambayo haijawahi kutokea. Watu wapige mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba.
Dar ikikubali, Tunachukua nchi asubuhi na mapema tu kabla jogoo wa Alfajiri hajawika!
Polepole kuongea na na vyombo vya habari mara kwa mara huchosha wasikilizaji 'audiance' mara nyingi anapenda kutukana 'we do not speak ill to competitors' yeye hudhani anaongea na watoto wa chekechea
 
Upuuzi mtupu. Kichapo kipo palepale.
 
Siku ya kuja Dar jiji zima tutapiga nyimbo za One love ya Lucky Dube, Survival ya Bob Marley na Mchakamchaka ya Mc Mwingira.
 
Polepole kuongea na na vyombo vya habari mara kwa mara huchosha wasikilizaji 'audiance' mara nyingi anapenda kutukana 'we do not speak ill to competitors' yeye hudhani anaongea na watoto wa chekechea
Kama haya matangazo ya wagombea wao yaliyojaa nchi nzima yanavyokinaisha kuyaona huko barabarani.
 
Dar walikosea sana 2015 kuwachagua wapinzani ama kwa hakika hawatorudia kosa hilo.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Halmashauri zote zilizoongozwa na wapinzani haijawahi kupata hati chafu.

Ubungo baada ya kuongozwa na Chadema ndiyo ikapata maji ya bomba.

Kawe ndiyo jimbo lenye maendeleo kuliko hata jimbo la Ilala ambalo mheshimiwa Zungu amekuwa mbunge toka 2005
 
Ni kweli ndio maana jimbo la Kawe kuna mabwawa ya samaki kila mvua ikinyesha.

October 28th twendeni na Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nipo na T.I.D mmiliki wa "Ni yeye" !

Kuna jambo lake negative na watu wake wamelipanga.
 
Dar haiwezi kuunga mkono mtetezi wa wapenzi ya jinsia moja, kumchagua Lisu ni kukaribisha laana ya sodoma na gomora.
 
Watu wa Dar ndio wahanga wakuu wa utawala huu, bar hazina watu, wananchi wamepigika

Hamtoamini tunachokwenda kukifanya watu wa Dar, ni maangamizi kwa nduli.

Tunakwenda kumalizana na ccm tarehe 28.
Operation futa CCM
 
Hapo mwanzo nilikuwa na wasiwasi na mwitiko wa mkoa wa Dar kuupokea ujumbe wa Tundu Lissu, niliuona kama mkoa ambao unaosuasua kuupokea ujumbe wa Lissu tofauti na huko mkoani. Lakini kwa utafiti wangu hasa wa wiki hii umenithibitishia kuwa Dar inaanza kuupokea ujumbe kwa kasi ya kutisha. Vijiweni vijana wameanza kuzungumzia kampeni ya Lissu.

Kuna mambo ambayo Timu ya kampeni ya Lissu wameyafanya sawasawa yamechangia kwa Dar kuanza kuamka nayo ni kama ifuatavyo:

1. Zile siku saba za kufungiwa Lissu ziliwafanya wana Dar wamfuatilie

Katika siku zile za kifungo, Lissu alizitumia kuzunguuka maeneo mbalimbali ya jiji, wananchi wa maeneo hayo wakamuona, hiyo likawa kama zinguo kwao kuwa kuna jambo la uchaguzi nchini linaendelea, watu wakaanza kupick interest, kusambaza taarifa. Kwa hiyo hii ikawaweka wana Dar kwenye receptive mode ya kutaka kujua zaidi kutoka kwake.
Uwepo wa Lissu dar kipindi hicho na ziara alizofanya, ni kama kupandikiza/kutega vimlipuko vidogo vidogo vingi ambavyo siku ya siku vikilipuliwa kwa pamoja kitu lazima kisambaratike!

2. Reverse advertising

Kosa moja ambalo chama cha mapinduzi wamefanya ni kutokuwa fair kwenye issue ya kuhodhi vyombo vya habari. Yaani kila siku ni kutangaza kampeni ya Magufuli, Sasa athari hii ya monopoly inapelekea kitu kinachoitwa reverse advertisement, yaani kila Magufuli asikikapo kwa sababu anaongea peke yake watu wanajua kuwa naye ana mpinzani wake aitwaye Tundu Lissu, Kila Magufuli aongeapo, watu at tje same time wanajua kuwa pia kuna mtu aitwaye Lissu ambaye hasikiki kwenye vyombo hivihivi vinavyomfanya huyu asikike kila siku. Kwa hiyo watu wanachukua juhudi zao wao wenyewe kumtafuta Lissu ili kumsikiliza.

3. Ujio wa Sheikh Ponda na kuvuka mipaka kwa bwana Alhadi

Mkoa wa Dar ni mkoa wenye waislamu wengi, Tangu Sheikh Ponda aje camp ya Lissu upepo umeanza kugeuka kwa kasi nchini na Dar kiujumla. Vijana wa Kiislamu niliowasikiliza wanasema wanakwenda na Ponda alipo.
Pia kauli ya Sheikh wa BAKWATA bwana Alhadi iliyotazamwa nchi nzima imewakera waislamu wengi sana, wengi wameamua kusumama na Ponda na hivyo kwenda na Lissu.

4. Wakazi wengi wa mikoani waishio Dar wameguswa na ziara za Lissu katika mikoa yao

Lissu amepiga kampeni serious nchi nzima, amekwenda sehemu nyingi sana za nchi, kila alipokwenda unakuta kuna wakazi wa maeneo hayo waishio Dar. Sasa hawa wakazi walioko dar wameguswa sana na ndugu zao wa maeneo watokako huko jinsi walivyompokea Lissu, watu wako emotional na mapokezi ambayo ndugu zao wamempa Lissu. Hebu tazama Lissu amekwenda hadi kwa Wamasai ndanindani huko, Amekwenda hadi vijiji ambavyo kiongozi mkubwa wa serikali hajawahi kukanyaga. Heshima aliyowapa wana Ukerewe ya kuvuka ziwa kwa boti. Akina mama wanavyompokea kwa kumtandikia Kanga na heshima zote za kichifu anazopewa. Vitu vyote hivi vinawagusa sana watu watokao maeneo hayo waishio Dar

5. Social media

Social media, whatsapp, Youtube, Facebook, Jamiiforums, Instagram hivi vitu kwa wakazi wa Dar ni kama vile oxygen. Fahamu kwamba kuna makundi ya watu katika jamii wanaitwa washawishi "Influencers". Hawa kwa asilimia kubwa wqna miliki vitu hivi, na kwa nature ya nchi yetu wako Dar (sababu ya mji mkubwa wa kiuchumi na serikali), Influencer mmoja ana uwezo wa kupata taarifa kiurahisi na kuzisambaza kwenye wigo wa eneo lake la ushawishi, kwa hiyo habari zinasambaa ama taratibu ama haraka kutokana na mazingira. Ni dhahiri sasa Dar imekuwa influenced vya kutosha kumpokea Lissu.
Wana Dar kupitia social media wanaona mwitiko wa wananchi wenzao wa mikoani walivyompoea Lissu, kwa hiyo nao wanashawishika

6. Kampeni za Ubunge na Madiwani zimeiamsha Dar.

Kila jimbo la uchaguzi Dar kuna kampeni za wabunge na madiwani zinaendelea, kote huku wana Chadema wanaendelea kuwasha moto, wanainadi Chadema na wanamnadi Lissu. Wana Dar sada wanatambua kuwa hii ngoma sasa mtoto hatumwi dukani, ngoma wameanza kwa kasi kuja camp ya Lissu

7. Ujumbe wa Lissu wa vitambulisho vya wamachinga umepokelewa positively na Wamachinga

Nimewasikiliza wamachinga wa Dar, wameupokea kwa nguvu ujumbe wa Lissu kuhusu kitambulisho kisicho na jina, picha, jinsia, saini na hata havikutolewa risiti. Wengi wameinyesha kumuunga mkono Lissu kwenye hilo suala la vitambulisho vya magumashi.

8. Confidence ya Lissu imerudisha Confidence ya wana Dar

Dar iliumizwa na flip-flop ya Lowasa, kitendo cha Lowasa kurudi CCM wakati wana Dar waliwekeza mtaji mwingi kwake kiliwakatisha tamaa sana. Walikuwa wanangoja waone mtu wanayeweza kumwamini kuwa huyu hawezi kuwaacha kwenye mataa. Sasa Tangu kampeni hizi zianze, upambanaji wa Lissu, ubishi wake, kujiamini kwake, Ujasiri wake vimeanza kuwafanya watu wa Dar waone kuwa huyu mtu ni "Real Deal"

Kwa hiyo kiufupi ni kwamba, Kimbunga cha Lissu kimeanza kuingia Dar kwa nguvu na nashauri kambi ya Lissu. Dar ipewe uzito wake unaostahili kwenye wiki hii ya mwisho ya Kampeni.

Dar ipigwe operesheni kali sana, yaani Machinery nzima ya Chama igeuzie mizinga Dar, ipigwe operesheni "ondoa udhalimu Dar" ambayo haijawahi kutokea. Watu wapige mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba.
Dar ikikubali, Tunachukua nchi asubuhi na mapema tu kabla jogoo wa Alfajiri hajawika!

Pascal need to learn from you how to present issues, uwezo watu wanazaliwa nao, Shule ni structure tu!
 
Kwani ni flyover peke yake imetengenezwa? Vituo vya afya barabara za uswazi,masoko nk.

Ww ulitaja flyover ndio maana nikakujibu ulivyosema, ila wakazi wa Dar hawana matatizo makubwa ya huduma ulizotaja, bali wanajali zaidi upataji wa hela. Wakazi wa Dar wameshavuka hatua za miundombinu, wako kwenye hatua ya kujali mifuko yao zaidi. Kwa miundombinu iliyopo Dar, hata wasipopatiwa mingine ili mradi wanapata pesa yaani maendeleo ya watu, kwao ni poa tu.
 
Back
Top Bottom