Dar sasa iko tayari kumpokea Lissu kwa mikono miwili

Polepole kuongea na na vyombo vya habari mara kwa mara huchosha wasikilizaji 'audiance' mara nyingi anapenda kutukana 'we do not speak ill to competitors' yeye hudhani anaongea na watoto wa chekechea
 
Upuuzi mtupu. Kichapo kipo palepale.
 
Siku ya kuja Dar jiji zima tutapiga nyimbo za One love ya Lucky Dube, Survival ya Bob Marley na Mchakamchaka ya Mc Mwingira.
 
Polepole kuongea na na vyombo vya habari mara kwa mara huchosha wasikilizaji 'audiance' mara nyingi anapenda kutukana 'we do not speak ill to competitors' yeye hudhani anaongea na watoto wa chekechea
Kama haya matangazo ya wagombea wao yaliyojaa nchi nzima yanavyokinaisha kuyaona huko barabarani.
 
Dar walikosea sana 2015 kuwachagua wapinzani ama kwa hakika hawatorudia kosa hilo.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Halmashauri zote zilizoongozwa na wapinzani haijawahi kupata hati chafu.

Ubungo baada ya kuongozwa na Chadema ndiyo ikapata maji ya bomba.

Kawe ndiyo jimbo lenye maendeleo kuliko hata jimbo la Ilala ambalo mheshimiwa Zungu amekuwa mbunge toka 2005
 
Ni kweli ndio maana jimbo la Kawe kuna mabwawa ya samaki kila mvua ikinyesha.

October 28th twendeni na Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nipo na T.I.D mmiliki wa "Ni yeye" !

Kuna jambo lake negative na watu wake wamelipanga.
 
Dar haiwezi kuunga mkono mtetezi wa wapenzi ya jinsia moja, kumchagua Lisu ni kukaribisha laana ya sodoma na gomora.
 
Watu wa Dar ndio wahanga wakuu wa utawala huu, bar hazina watu, wananchi wamepigika

Hamtoamini tunachokwenda kukifanya watu wa Dar, ni maangamizi kwa nduli.

Tunakwenda kumalizana na ccm tarehe 28.
Operation futa CCM
 
Pascal need to learn from you how to present issues, uwezo watu wanazaliwa nao, Shule ni structure tu!
 
Kwani ni flyover peke yake imetengenezwa? Vituo vya afya barabara za uswazi,masoko nk.

Ww ulitaja flyover ndio maana nikakujibu ulivyosema, ila wakazi wa Dar hawana matatizo makubwa ya huduma ulizotaja, bali wanajali zaidi upataji wa hela. Wakazi wa Dar wameshavuka hatua za miundombinu, wako kwenye hatua ya kujali mifuko yao zaidi. Kwa miundombinu iliyopo Dar, hata wasipopatiwa mingine ili mradi wanapata pesa yaani maendeleo ya watu, kwao ni poa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…