Dar sasa iko tayari kumpokea Lissu kwa mikono miwili

Lissu atakuwa anawagawia pesa toka mifukoni kwake?
Maana kama serikali inajenga soko la kisasa unataka nini?
 
NIPO HAPA JIJINI NINACHOKIO NA KUKISIKIA NI WANA-DAR ES SALAM HAWATAKI VIBARAKA WA MABEBERU. MISHE ZAO ZIKO POA NA HAWAHITAJI KUDANGANYIKA
 
DSM anafanya nini, kwani hata mbunge mmoja hapati. Anyaway, anajiaandaa kwa safari ya Ubeligiji, nasikia ticket anayo tayari,
Wee, koma siku hizi mnapiga vi jep vya kushitukiza mnakimbia polini! hakianani sikutarajia kama mtasambaratishwa mapema namna hii. Sa hivi hamuonani vumbi tupu,structure yote mlo jenga kwa miaka mitano imepukutika ndani ya wiki saba tu? hata siamini yaani dah wajumbe si watu.
 
DSM anafanya nini, kwani hata mbunge mmoja hapati. Anyaway, anajiaandaa kwa safari ya Ubeligiji, nasikia ticket anayo tayari,

Mkipewaga vimisamiati mvisambaze huwa mna juhudi..... eti "anajiandaa na safari ya ubelgiji" hahahaha
 
Lissu atakuwa anawagawia pesa toka mifukoni kwake?
Maana kama serikali inajenga soko la kisasa unataka nini?
Mlikuwa hamshangai Magufuli anavyogawa pesa za walipa kodi kama zake vile tena nyingine ametia kwenye briefcase na kuzigawa kama njugu ..kwenye ziara zake?
 
DSM anafanya nini, kwani hata mbunge mmoja hapati. Anyaway, anajiaandaa kwa safari ya Ubeligiji, nasikia ticket anayo tayari,
Kitu cha kushangaza ni Magufuli kusoma hotuba za kampeni badala ya kuonyesha umahiri wake wa kumwaga sera na ilani yake kwa kadri anavyozielewa. Bahati mbaya sana hata kusoma sauti inakwama na anaonyesha wasiwasi.
 
DSM anafanya nini, kwani hata mbunge mmoja hapati. Anyaway, anajiaandaa kwa safari ya Ubeligiji, nasikia ticket anayo tayari,
Maandishi ya mtu aliyekata tamaa...duh Lissu amewavuruga kwa kweli, hamkutarajia kwa kweli. Mnapoambiwa damu ya mtu hutesa muwe mnaelewa!
 
Kwani wenzake na Lissu (marafiki) huko dsm ni wengi?
 
 
Lissu ni Rais...huyo anayetaka kingangania madaraka yatamkuta ya kumkuta aanze kupanda ndege kwenda uholanzi bila nauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…