Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hivi unajua keshaambiwa mara ngapi?Kukamilisha ni kitu kidogo walitakiwa tu wamwambie akamilishe Kwisha.Kwa nini nguvu kubwa itumike kulifunga badala tu ya kwenda politely kumwambia kamilisha hiki na hiki na kama kuna la kurekebisha aambiwe rekebisha hiki na hiki
Simple.Alichofanyiwa hakiko sahihi kabisa
Unless serikali imeamua sasa kuwa na dini wakati katiba inatamka wazi kuwa haina
dini.Kufunga dini na kuwaambia watu wakatafute sehemu ingine ya kuabudu ni udini.Sio kazi ya serikali kumuambia mtu akaabudu wapi na aabudu vipi kwa staili ipi na aabudu nini kuku ng'ombe au mtu.Ni maswala binafsi