Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hivi unajua keshaambiwa mara ngapi?Kukamilisha ni kitu kidogo walitakiwa tu wamwambie akamilishe Kwisha.Kwa nini nguvu kubwa itumike kulifunga badala tu ya kwenda politely kumwambia kamilisha hiki na hiki na kama kuna la kurekebisha aambiwe rekebisha hiki na hiki
Simple.Alichofanyiwa hakiko sahihi kabisa
Unless serikali imeamua sasa kuwa na dini wakati katiba inatamka wazi kuwa haina
dini.Kufunga dini na kuwaambia watu wakatafute sehemu ingine ya kuabudu ni udini.Sio kazi ya serikali kumuambia mtu akaabudu wapi na aabudu vipi kwa staili ipi na aabudu nini kuku ng'ombe au mtu.Ni maswala binafsi
Taasisi yeyote inahitaji usajili. Hata ndoa inasajiliwa na kupewa cheti.Usajili? Dunia ina mambo, yaani kumuabudu Mungu hadi usajili? Labda kama ni chama cha siasa au NGOs za kiharakati.
Wanayo mbona mengi tu yako ya jeshi yako ya kubeba wafanyakazi nk kwani hujawahi ona mabasi ya serikali?Kwani wanaposajiri mabasi ya abiria, serikali inakuwa na mabasi?
Acha hizo, usajiri ni lazima ili kuweka control.Wanayo mbona mengi tu yako ya jeshi yako ya kubeba wafanyakazi nk kwani hujawahi ona mabasi ya serikali?
Pia wanayo mabasi ya abiria ya Mwendokasi kibao
Umechemka ndoa makanisa mengi sasa hiivi yanatoa vyeti vya ndoa vya kanisani tu hawatoi vya serikali .Wakristo wanaamini ndoa ikifungwa watu wanakuwa mwili mmoja .Hivyo hutoa cheti cha ndoa kimoja tu cha dini tofauti na vya serikali ambavyo hutolewa viwili kila mmoja anapewa ChakeTaasisi yeyote inahitaji usajili. Hata ndoa inasajiliwa na kupewa cheti.
Control ya nini wakati katiba imetamka wazi kuwa mambo ya usimamizi na uendeshaji mbo ya dini yatakuwa nje ya mamlaka za SerikaliAcha hizo, usajiri ni lazima ili kuweka control.
NabiiSuguye ndiyo nani?
sawa, ni vema kila taasisi kuwa na usajili. lakini si lazima ila ni takwa la kisheria kwa kuwa dini husajiliwa kama chama cha kiraia. Mambo ya kiroho serikali haiyajui na haina uwezo wa kuyadhibiti, kila raia anajua anachoamini ndiye mungu wakeTaasisi yeyote inahitaji usajili. Hata ndoa inasajiliwa na kupewa cheti.
Taasisi yeyote inahitaji usajili. Hata ndoa inasajiliwa na kupewa cheti.
Serikali haisajili dinisawa, ni vema kila taasisi kuwa na usajili. lakini si lazima ila ni takwa la kisheria kwa kuwa dini husajiliwa kama chama cha kiraia. Mambo ya kiroho serikali haiyajui na haina uwezo wa kuyadhibiti, kila raia anajua anachoamini ndiye mungu wake
Mbona matapeli wa kiarabu hawaguswi, nyokoFala sana wewe,serikali inawaepusha na matapeli wewe unaleta udini.
...ongeza nyama kwanza hapa kwenye ufunuo,unaweza kukuta utajiri ni kitu kidogo tu.!mjadala ufunuo wa kucha na nywele, akidai Mungu wake kuagiza waumini kutoa kucha za kidole cha mwisho cha kushoto (mguu na mkono) na nywele za utosini na paji la uso kisha kufunga kwenye kitambaa cheupe ili awaponye.
Kama unapenda kutapeliwa peleka hizo hela kwa Mwamposa sio lazima kumpelekea Suguye.Mbona matapeli wa kiarabu hawaguswi, nyoko
Kujiita ni jambo moja na kufanikiwa kupiga pesa ni jambo lingine....mfano Nabii Tito.Na wewe jiite nabii upige pesa kama unadhani ni rahisi
Fake amekanusha hiliHabari ndo hyo ya Mjini View attachment 2456268