DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Huyu Mungu wetu si wa visasi. Yeye hufanya njia pasipo na njia, kama Lisu walishindwa kumuua huku CCTV zikiwa zimeximwa kwa watu wasiojulikana na bunduki za kivita zilindima kwenye makao makuu ya nchi yenye ulinzi wa nchi bila mafanikio yeye atatumia nini? Labda awasiliana na Rais Kim wa Northern Korea
 
hawa masheikh ambao ccm wanawahonga pilau watupishilie mbali....badala ya kudai haki zinzovunjwa na ccm ww unhangaika na mange....alafu mange hajatukana sisi waislamu bali ww mchumia tumbo unakataka maaskofu wasifanye siasa ww unapigia kampeni ccm kwa ubwabwa tu
 
Sheikh wangu Alhad pole sana ila ulitakiwa ukae kimya sio kujibizana na chizi Mabge maana kazidi kuyasema tusiyotaka kuyasikia. Tafadhali kaa kimya haya yatapita tu
 
Kwahiyo ni dhambi au ukiukwaji wa sheria kwake kuwepo kwenye hicho kikao?
Rudia lalamiko la mange kuhusu kauli ya shekhe kukemea kuchanganya dini na siasa baada ya maaskofu Fulani kuonekana kukosoa,halafu ujijibu mwwnyewe
 
siasa hazijawahi kumuacha shekhe salama, kutumika ni kubata sana shekhe wangu!
 
Utofauti wa viongozi wa kislam na kikatoliki unauona hapa.
Ingekuwa ni askofu katukanwa hivyo wala asinge hangaika kujibu.

Kusoma falsafa na theoloji inasaidia kutoshiriki kwenye ujinga
Biblia inasema msikae barazani kwa wenye mizaha!
 
Mchumia tumbo tu huyo hana jipya ...SHEkhe SHEkhe ndio nni
.!!?
Anataka kuwa aminisha watu kuwa yeye hatendi uovu ..nayeye nikama nani haswaa mpka asisemwe ..kwahii statement yake yaonyesha wazi kuwa hapaswi kupewa cheo chakuwaongoza watu ktk dini hii ya uislam mafudisho ya dini yetu yanatukumbusha kuwa mtume muhhamad alifanyiwa vitimbi vikubwa mnoo ikiwemo hata kupigwa mawe na kutemewa mate ..na MUNGU ALIPOMTUMA MALAIKA WAKE KUMUULIZA MUHHAMAD ANGEPENDA ADHABU IPI ITOLEWE KWAWATU WALE ..MUHHAMAD ALIJIBU KWA BUSARA KABISA KUWA ANAMUOMBA MUNGU AJAALIE WATU WOTE WALE WALIOMPIGA MAWE MPKA VIZAZI VYAO VIPOKEE YALE MAFUNDISHO YAKE NA WAWE WAISLAM ....SASA YEYE KATUKANWA KIDOGO TU TENA NA MANGE BASI KACHACHAWA ..JE ANGETISHIWA MAISHA NA SIZONJE SINDIO ANGEIKANA DINI YAKE KABISA...FOOLISH
 
Mtumishi Wa mungu anamtisha mtu badala kumwombea abadilike jamani au ni Mtumishi Wa ccm
hilo neno lako LA mwisho pigia mstari ..tena usije kushangaa pindi atkpoitwa white house na kupewa bahasha ya kaki kama pongezi ya hiki alichokifnya
 
kukaa kimya nako ni ujumbe tosha.wewe sio mtu wa mitandao, waachie akina le mutuz na wengine lakini sio wewe,kesho tukisikia mitandaoni umefanya hiki hiki unadhani watakuonea huruma.sheikh wa ajabu kuwai kutokea kwenye mkoa wetu ni huyu,hana busara kabisa anawaza mabaya kwa watu,nini maana ya kiongozi wa dini?
 
Ha haa! Mbona shekhe amepanic kwa ishu ndogo tu kama hiii? Mwambieni asijisumbue na JF! Wenzake wameishitaki mahakamani mwaka mmoja sasa bado kesi haijahisha. Kama ana muda wa kupoteza wa kwenda na kurudi mahakamani, basi mwambieni aende ila asitegemee kama ataweza kupata ushindi...
 
Nikiri kuwa mimi ni Muislamu.
Pia nikiri kuwa mimi nimpenda mageuzi na kuwa na upinzani ulio na nguvu.Pia msimamo wa sheikh Alhad nilishautilia shaka kwani alionekana na anaonekana kuwa huko biased kwani hatujamwona kwenye shughuli za vyama vingine.
Hili la kumjibu Mange ni kama vile kuibiwa nguo na kumkimbiza mwizi wa nguo.Sheikh utaudhalilisha Uislamu,muache Mange na yake.
 
Uchawi hauvuki bahari hata siku moja.Mwisho wake hapo Kigamboni halafu unaelekea Mbagala.
Shekhe atulie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…