DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

kama amepotoka watu wasimwambie?kiongozi gani wa dini anamuwazia binadamu mwenzake mabaya?
 
Mbona hamumkamati mnaishia kukamata makatibu tarafa wa ufisadi wa laki
 
Shekh amefanya kufuru, sheikh amefanya shiriki na kamwe hapaswi kuitwa shekh, msomi mzima unamsirikisha mungu ktk kufanya maamuzi?
 
kwahiyo wewe wataka Jamii ya watanzania wote ml.50s wawe wastaarabu kama ulivyo wewe ...aiseee utachina mkuu ..muacheni Dada wawatu afnye Kile kinachomsukuma kufnya ..kama atakuwa anavunja sheria basi mamlaka husika zipo zitawajibikia hilo..ila sio kuanza kutaka kumchagulia namna yakuweza kuishi nikuingilia maisha ya mtu
 
Tatizo la sheikh ni kuwa anaonekana upande wa fisi tu,,,,angekua anaenda hata upande wa simba kidogo tungekubali. ,
 
shekhe kasemwa na mange tu..amepanic Anataka kumtoa roho .what if akigundua kuwa kuna mtu anamgongea mkewe...Hawa mashekhe wasiku hizi bhana wanatudhalilisha mnooo aisee wanampka sana MUNGU MATOPE kuna nykati mpka huwa natamani Mungu angekuwa anajibu hizi tuhuma za kuzushiwa kwake uwongo
 
Huyu shehe anafeli sana!

Anajitia yeye na Mungu wana ushikaji sana,akimwabia amsaidie kulipa visasi kwa maadui zake basi anamsaidia.

Litakua halijaenda hata shule hili lijamaa!

Shule muhimu sana!

Mtu mzima anaaibika hivi yaani!

Na Mange alivyohajatulia kazidi mvua nguo zaidi huko Insta!

Shehe kaingia cha kike sana!Na ataoga mavi sana!Subiri muone!
 
Aisee kumbe yupo mungu ambae unaweza kumpangia cha kufanya na muda ukampa wa kutekekeza upendalo wewe,
MUNGU ninaemuamini mm huwa tunaacha aamue yy anavyoona,tena yy hupenda tufanye kazi ya kuwaleta watu kwake hasa wapotofu siyo kuwawahisha kwa shetani kupitia kuwaua,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…