Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamumkamati mnaishia kukamata makatibu tarafa wa ufisadi wa lakiUjinga ni ujinga tu haijalishi kafanya nani,kuchafuliwa kwa Edo sio sababu ya wewe umchafue mwingine huo ni Ujinga zaidi. Halafu ufisadi wa Edo kwani nani haujuwi, he is fisadi ukweli ndo huo nenda kachek Mafaili ya CDM pale Sumbawanga tribe Kaangalie orodha ya mafisadi Tanzania lazima ukute jina lake.(LIST OF SHAME).
kwahiyo wewe wataka Jamii ya watanzania wote ml.50s wawe wastaarabu kama ulivyo wewe ...aiseee utachina mkuu ..muacheni Dada wawatu afnye Kile kinachomsukuma kufnya ..kama atakuwa anavunja sheria basi mamlaka husika zipo zitawajibikia hilo..ila sio kuanza kutaka kumchagulia namna yakuweza kuishi nikuingilia maisha ya mtuSijui Mamnge kimambi anashida gani, ni mdada asiye na Ustaarabu na Staha wala adabu. Anachofanya hakosoi kama wengi wetu wanavyomshabikia ila huwa anatukana tena matusi yasiofaa kabisa. Kwani hana njia nzuri ya kukosoa kweli? Ivi bungeni wangekuwa wanakosoa Serikali kwa staili hii ingekuwaje?; Kwa Clip nilivyoisikiliza na Shehe namna alivyozungumza; Ni wazi kuwa hakustaili kujibiwa kwa staili ya Mange; inshort sijaona kuna haja gani Mange kuachia matusi kwa Shehe?
Kiongozi wa dini badala ya kusamehe yeye anamuombea mtu mabaya anajenga Picha gani kwa waumini, visasiKwa nni
MhhShekh amefanya kufuru, sheikh amefanya shiriki na kamwe hapaswi kuitwa shekh, msomi mzima unamsirikisha mungu ktk kufanya maamuzi?
Kweli umesikia ,na uliemsikia nae kasikia. .....Albadili, nasikia ni lazima isomwe misikiti saba kwa mpigo.