amadeusity
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 560
- 291
Unamaanisha viongozi wa dini kama Baba Askofu Niwemugizi aliyeundiwa zengwe la uraia wake au unamaanisha kiongozi wa dini kama sheikh Ponda ambaye kila siku anapelekwa polisi na kulazwa ndani bila sababu...hebu tuwe serious kidogo aisee...kwahiyo viongozi wa dini type ya kina Nabii Tito na huyu sheikh wa dsm ndio wateule wa Mungu waachwe wataadhibiwa na mungu tuu...ahahahhaa. MANGEEEEEE...NYOOSHA HAWA WENGINE MUNGU ANA MAMBO MWNGI YA KUFANYA HAWA MALOZANA NAO HUKUHUKU AHERA HESABU TUU.Kuwa katika position kama yake sio kitu cha mchezo mchezo tu
Maana ingekuwa ni rahisi hata wewe ungekuwa hapo
Lakini ana kipawa ambacho Mwenye Enzi Mungu anemtunuku!
Ndiyo maana kwenye Biblia Takatifu Mfalme Daudi hakuthubutu kumwuua Mfalme Sauli, tena alimwita mpakwa mafuta wa Mola, akamwambia Mwenye Enzi Mungu pekee ndiyo atakaye kuhukumu!
Hivi viti wanavyo kalia wakuu wa dini sio vya mchezo, ni watu wanao shika roho za watu yaani ni IMANI!
Tuwe wasngalifu sana kwenye maswala haya!
Tusiwafanye wakakunja roho zao!
Kweli nawaambia mwisho wake huwa sio mzuri hata!
Ok.Huo ni Mkutano wa CCM Temeke mwaka 2014 na yeye alienda pale kama Mgeni Mwalikwa! Na ulikuwa ni mkutano wa ndani wa kuchagua viongozi wa Jambo!!
Don't forget, huyu Sheikh katokea Temeke.
Japokuwa mimi si mpenzi wa huyu Sheikh na wala simuungi mkono katika hili , lakini Hali ya Mrema unaionaje hivi sasa....!!??Ok.
Nimekuelewa..
Lkn Shehk mbona kajipa Kazi ya Mungu ya kuhukumu...???
Maana nakumbuka mwaka 1992 pale Mwembeyanga maduka ya nguruwe yalipochomwa moto,wakati serikali iliingiza FFU na Mbwa msikitini wkt wa Adhuhuri na kuwatandika waumini wa Kiislam kisawasawa kesho yake asbh viongozi wa Kiislam waliwakusanya waumini kwaajili ya kumsomea ALBADIRI wkt huo Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Agaustine Lyatonga Mrema.
Mrema leo tunae na ni Mwenyekiti wa chama flani cha siasa.
Sijaona haja ya kiongozi wa heahima kama yule kumjibu Mange zaidi ya kumpuuza.
Mrema yuko safi anasumbuliwa na magonjwa nyemelezi ya uzee kama KISUKARI na ni miaka 26 sasa tangu asomewe ALBADIRI.Japokuwa mimi si mpenzi wa huyu Sheikh na wala simuungi mkono katika hili , lakini Hali ya Mrema unaionaje hivi sasa....!!??
Anapukutika taratibu......hiyo ndiyo Albadiri nduguMrema yuko safi anasumbuliwa na magonjwa nyemelezi ya uzee kama KISUKARI na ni miaka 26 sasa tangu asomewe ALBADIRI.
Kachoka kwa Uzee na wala sio ALBADIRI ya mwaka 1992.Mrema choka mbaya mno
Hilo ni vigumu kuliamini kwa mtu kama mimi...Anapukutika taratibu......hiyo ndiyo Albadiri ndugu