DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Binadamu tunapenda sana kujificha katika kivuli cha uhai; ila zama zako zikifika utashangaa. Cheche ndogo tu, moto huooooo! Shehena kwisha, yamemfika leo. Hakudhani kama itakuja siku akiwa yu hai aibu zake zitaanikwa namna hii.
 
Sheikh TITO NI ZAIDI ya noma. MangeKimambi ni zaidi ya Dr. Remmy enzi za Super Matimila ambapo Mambo kwa soksi ilikuwa ni hatari kusikika redioni
Mkuu umenikumbusha enzi za ukumbi wa Chabruma inn - Mabibo mwisho , nilikuja kushangaa kwamba Cosmas Chidumule kaokoka !
 
Hili bifu la huyu mama na sheikh sitaki kuliongelea.

Lakini kinachonisikitisha ni namna watu wasiohusika kabisa na bifu lao, kama vile wake/watalaka zake na watu wa karibu na sheikh wanavyodhalilishwa bila sababu yoyote.

This isn't right.
 

Nani ampelekee kaptura lake na yeye anasifa ya kugeuka nyuma mbele haendi .. Aliyeokota kaptura lake bado kajificha hana mpango wa kumpelekea maana nae usalama wa pindo zake utakuwa mashakani. Si unajua tena [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hayo makombora yanayotupwa huko insta sijui kama yatamuacha mtu salama, siyo kwa mashambulizi yale loh!
 
Ninakubaliana nawe kwa % nyingi tu ... lakini pia kuna wakati CHARACTER DEFAMATION yatakiwa itolewe UFAFANUZI ili kuondoa UTATA ama MKANGANYO ambao waweza jitokeza ...
 
Hili bifu la huyu mama na sheikh sitaki kuliongelea.

Lakini kinachonisikitisha ni namna watu wasiohusika kabisa na bifu lao, kama vile wake/watalaka zake na watu wa karibu na sheikh wanavyodhalilishwa bila sababu yoyote.

This isn't right.
Ukijipaka mavi, harufu itasikika, na wanaokuzunguka!!
 
Wakubwa wenyewe wapuuzi sasa wanafanya mambo yasiyolingana na huo "Ukubwa" wao
Kiafrika tuna utamaduni wa kuheshimu wakubwa sawa na wazazi wetu.
Pia hizo tuhuma hazina uthibitisho.
 
Mpaka sasa shekhe amepigwa technical knockout(KO) ya pili shekhe bado kasimama anaendelea na pambano tunaingia round ya 3 ngoja tusubiri labda shekhe anaweza kufanya miujiza round zilizobaki na chizi fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…