"...that little girl is very smart upstairs ..." <<<<< kauli hiyo imenishangaza tena sana .... THE ONE WHO INSULTS OTHERS IS THE ONE WHO'S "smart upstairs" ... kumbe tusotukana hovyo tena matusi ya nguoni "we'll never ever be smart upstairs"No! Mange Kimambi is right. Hivi Sheakh Alhad, sio jana tu ulipewa ushauri usijibizane na Mange? What did you do? Vumilia , and you must pay this bitter price. Hadi sasa umeshachafua CV ya kukubeba kuwa Sheakh Mkuu Mtarajiwa ambayo ulikuwa nayo, very poor of you. Usicheze na Mange bana that little girl is very smart upstairs.
Naona kama halbadiri yake itagonga dari na kumrejea mwenyewe!Mange kiboko duh,sheikh wa watu atajuta kutumia cheo chake kutishia watu,kwa kweli kama hajapata pressure,ataipata soon
hahahahaha shekhe anawatafuna tu kama nabii tito
Tuliza boli BB, Ni zamu ya Mange kuwanyoosheni"...that little girl is very smart upstairs ..." <<<<< kauli hiyo imenishangaza tena sana .... THE ONE WHO INSULTS OTHERS IS THE ONE WHO'S "smart upstairs" ... kumbe tusotukana hovyo tena matusi ya nguoni "we'll never ever be smart upstairs"
MangeKimambihapana.. atakuwa na id ya uongo.
uwiii.... Sheikh tito tenaMange 7" / sheikh Tito 0"
I know nothing about you, you know nothing about me and that Mange of yours know nothing about me either ... sasa "kuninyoosha" huko kwa lipi? ...Tuliza boli BB, Ni zamu ya Mange kuwanyoosheni
Munashangilia ugomvi bila kufahamu nguruwe ni yupi kati yao. Tulio wasafi hatuna sababu ya kumpongeza yoyote kati ya hawa. Binafsi sijui usafi wa Sheikh ingawa naelewa tatizo la huyo Kimambi ambaye nahisi hana ajira ya kudumu zaidi ya matusi kwa kila anayemkera. Elimu yake pia ni mashaka maana mwenye uelewa huvumilia hata pale asipotaka.Naona shehe anataka kupambana na mzinga wa nyuki, kaingia 18 za Mange ....mi simooooooooooo
Mashehe wa siku hizi wengi ni Macheck Bob .... hawana tofauti na Wachungaji au Mapadri wengi!!Ni aibu sana kuongozwa na huyu sheikh ambaye hawez kusimamia anachokinena
Nitajua tu tayari hapo hana marinda tena