DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Oh lord! Please grant me the strength to hold onto my anger against your creation, to wit; Mange Kimambi! Aamin
 
No! Mange Kimambi is right. Hivi Sheakh Alhad, sio jana tu ulipewa ushauri usijibizane na Mange? What did you do? Vumilia , and you must pay this bitter price. Hadi sasa umeshachafua CV ya kukubeba kuwa Sheakh Mkuu Mtarajiwa ambayo ulikuwa nayo, very poor of you. Usicheze na Mange bana that little girl is very smart upstairs.
"...that little girl is very smart upstairs ..." <<<<< kauli hiyo imenishangaza tena sana .... THE ONE WHO INSULTS OTHERS IS THE ONE WHO'S "smart upstairs" ... kumbe tusotukana hovyo tena matusi ya nguoni "we'll never ever be smart upstairs"
 
6e21a4aa58ed18a7c2574e6f9691adba.jpg
d0c0c2c0162250f6527beb679dedf5ab.jpg
8544dc09f70991f8fdedc5a0a5161561.jpg
88c331700183cf5ee41863ea2858a857.jpg
e56d68f630500521034518cf5c2cae25.jpg
hahahahaha shekhe anawatafuna tu kama nabii tito
 
Nivyoowambiiaga ukiwa shabiki wa ccm Lazima uwe mfiraji au mfirwaji hamunielewi!!!! Sasa mwaka huu mtazijua tabia za wapenzi na washabiki wa ccm....
 
Kwenye clip yake kuna sehemu kauliza nanukuu "huyu MANGE ndo nani"?
Nazani mpaka sasa ameshamjua ni nani alafu nataka aite tena media awaambie watz baada ya utafiti wake sasa MANGE ndo nani?.....sheheeeeeee
 
"...that little girl is very smart upstairs ..." <<<<< kauli hiyo imenishangaza tena sana .... THE ONE WHO INSULTS OTHERS IS THE ONE WHO'S "smart upstairs" ... kumbe tusotukana hovyo tena matusi ya nguoni "we'll never ever be smart upstairs"
Tuliza boli BB, Ni zamu ya Mange kuwanyoosheni
 
nacheeeeka mwenyewe ......hop ashajua kwa nn watu wanamuogopa mange
 
haya mambo ya youtube kwa ajiri ya kusikiliza umbea yalisha nishinda
 
haa haa eti mahakama ya mbinguni. si aseme tu majini yanaandaliwa? kwa jina la yesu yatamrudia mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Tuliza boli BB, Ni zamu ya Mange kuwanyoosheni
I know nothing about you, you know nothing about me and that Mange of yours know nothing about me either ... sasa "kuninyoosha" huko kwa lipi? ...
 
Naona shehe anataka kupambana na mzinga wa nyuki, kaingia 18 za Mange ....mi simooooooooooo
Munashangilia ugomvi bila kufahamu nguruwe ni yupi kati yao. Tulio wasafi hatuna sababu ya kumpongeza yoyote kati ya hawa. Binafsi sijui usafi wa Sheikh ingawa naelewa tatizo la huyo Kimambi ambaye nahisi hana ajira ya kudumu zaidi ya matusi kwa kila anayemkera. Elimu yake pia ni mashaka maana mwenye uelewa huvumilia hata pale asipotaka.

Bahati mbaya Mange kisha pata wafuasi. Naamini ni wa ubora wa aina yake.
 
Atamshitaki kwenye mahakama ya mbinguni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shekhe si aseme tu atakaa na benchi lake la ufundi kumshughulikia? Any ways sijui tumpe muda gani maana Lusekelo alisema hadi kufikia mwezi wa tatu mwaka jana, waandishi wote walio mchafua watakuwa wamesha kata moto (kufariki) na isipo tokea hivyo atarudi Mwakaleli kunywa gongo [emoji23]
 
Back
Top Bottom