DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Hakuna dua kubwa kama kitita,kama alipokea chake vipi.Maana kila apigae kelele ni njaa inamsumbua akiitwa mezani akaipata shibe hio kelele itoke wapi.Watz wakishaitwa mezani utosikia tena kelele dr slaa,mtatiro,waitara,mkumbo,kafulila,machali,list ni ndefu
if it's true that jpm bribed mange kimambi in order for her to stay away from bullying his administration , then he made a big mistake.

huko twitter kuna mtu anaitwa kigogo, jamaa yupo very focused na serious issues.

hana mda na issue za udaku wa instagram kama alivyokuwa mange kimambi.

tazama hapa anavyomjibu kangi lugola baada ya kangi kutangaza kuwa zimebaki siku kadhaa za kumkamata/kumbaini kigogo.
Screenshot_2019-11-03-11-19-58-828_com.twitter.android.jpeg
 
if it's true that jpm bribed mange kimambi in order for her to stay away from bullying his administration , then he made a big mistake.

huko twitter kuna mtu anaitwa kigogo, jamaa yupo very focused na serious issues.

hana mda na issue za udaku wa instagram kama alivyokuwa mange kimambi.

tazama hapa anavyomjibu kangi lugola baada ya kangi kutangaza kuwa zimebaki siku kadhaa za kumkamata/kumbaini kigogo.View attachment 1252645
Njia nzuri na salama ni kuwanunua na sio kuwauwa
 
if it's true that jpm bribed mange kimambi in order for her to stay away from bullying his administration , then he made a big mistake.

huko twitter kuna mtu anaitwa kigogo, jamaa yupo very focused na serious issues.

hana mda na issue za udaku wa instagram kama alivyokuwa mange kimambi.

tazama hapa anavyomjibu kangi lugola baada ya kangi kutangaza kuwa zimebaki siku kadhaa za kumkamata/kumbaini kigogo.View attachment 1252645
Wao, wanasema eti huyo ni mtu wa CHADEMA badala ya wao kujikagua.
 
Sheikh Alhad amesema ametukanwa kwa dhulma na uadui na kudai Mange anautumia ulimi na mikono yake vibaya kudhulumu watu(Heshima zao).

Alhad amesisitiza huu ni mwaka wa mwisho kwa Mange na baada ya mwaka huu hatamtukana mtu yeyote kwa kutumia ulimi au mkono wake kwa sababu amejihalalishia mwenyewe maangamizi kwa mkono wake. Amesema atamshtaki kwenye mahakama ya Mbinguni.

Mwaka wa tatu huu Mange bado anaongea na sasa amerudi mazima kwenye siasa.
 
Kumbe Sheikh wa mkoa anaroga watu wakimchukiza?
"Shee" huyo na Gwa "maji" ni mar'fik san' na inasemekana wanafanana sana kitabia...
Ila nisichofahamu "yeye na yule mdada walikubaliana KUPOTEA MTAANI!???"
 
Kuna clip huyu shehe anaonekana akisema
Magufuli Ni zaidi ya Yesu
Magufuli Ni zaidi ya mtume Mohammed akaenda mbali zaidi akasema Magufuli Ni Bora zaidi ya MUNGU.
Mimi ningekua muislamu wa Dar ninge lobby huyu shehe atumbuliwe au nujitoe Bakwata
 
hahahaaa magufuli alikuwa anapenda kusifiwa huyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Nyerere alikataa kuitwa mheshimiwa akasema anapenda aitwe mwalimu.kuna mmoja alisema eti Mungu amshukuru magufuli kwa kazi anayofanya
 
Back
Top Bottom