DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

if it's true that jpm bribed mange kimambi in order for her to stay away from bullying his administration , then he made a big mistake.

huko twitter kuna mtu anaitwa kigogo, jamaa yupo very focused na serious issues.

hana mda na issue za udaku wa instagram kama alivyokuwa mange kimambi.

tazama hapa anavyomjibu kangi lugola baada ya kangi kutangaza kuwa zimebaki siku kadhaa za kumkamata/kumbaini kigogo.
 
Njia nzuri na salama ni kuwanunua na sio kuwauwa
 
Wao, wanasema eti huyo ni mtu wa CHADEMA badala ya wao kujikagua.
 

Mwaka wa tatu huu Mange bado anaongea na sasa amerudi mazima kwenye siasa.
 
Kumbe Sheikh wa mkoa anaroga watu wakimchukiza?
"Shee" huyo na Gwa "maji" ni mar'fik san' na inasemekana wanafanana sana kitabia...
Ila nisichofahamu "yeye na yule mdada walikubaliana KUPOTEA MTAANI!???"
 
Kuna clip huyu shehe anaonekana akisema
Magufuli Ni zaidi ya Yesu
Magufuli Ni zaidi ya mtume Mohammed akaenda mbali zaidi akasema Magufuli Ni Bora zaidi ya MUNGU.
Mimi ningekua muislamu wa Dar ninge lobby huyu shehe atumbuliwe au nujitoe Bakwata
 
Kuna clip huyu shehe anaonekana akisema
Magufuli Ni zaidi ya Yesu
Magufuli Ni zaidi ya mtume Mohammed akaenda mbali zaidi akasema Magufuli Ni Bora zaidi ya MUNGU.
Mimi ningekua muislamu wa Dar ninge lobby huyu shehe atumbuliwe au nujitoe Bakwata
hahahaaa magufuli alikuwa anapenda kusifiwa huyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Nyerere alikataa kuitwa mheshimiwa akasema anapenda aitwe mwalimu.kuna mmoja alisema eti Mungu amshukuru magufuli kwa kazi anayofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…