DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Eti huu ndio mwaka wake wa mwisho, yeye shekhe ni nani hadi atoe deadlines?
 
Kwa sentensi chache niseme nionavyo mimi kuhusu hii "vita mpya" kati ya dada Mange na Sheikh mkuu Dar, Alhad Mussa Salum. Kwanza nieleze tu kuwa nauheshimu sana Uislamu kama navyoheshimu imani za watu wengine. Pia nawaheshimu viongozi wa kiislamu wakiwemo masheikh kama navyoheshimu viongozi wa imani na madhehebu mengine.

Lakini nadhani Sheikh Salum hakuwa na sababu ya kumjibu Mange. Kuna mambo ambayo tunategemea kuona Sheikh Mkuu wa mkoa akifanya, sio kufuatilia mambo ya instagram na kujibu. Tunategemea kuona akipambana kupigania haki za waislamu ktk namna itakayoleta matokeo chanya kwa waislamu na taifa kwa ujumla.

Tunategemea kumuona akiwasemea masheikh waliokamatwa miaka zaidi ya mitano iliyopita na mpaka leo wapo tu mahabusu bila kujua hatma yao. Aombe kesi zao zisikilizwe haraka (JPM anasema chapchap) ili kama wana hatia wahukumiwe, na kama hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani basi waachiwe HURU, kuliko kuendelea kuteseka tu mahabusu miaka zaidi ya mitano kwa madai kwamba upelelezi haujakamilika.

Hivi wakikaa mahabusu miaka 10 halafu bado ushahidi wa kuwatia hatiani usipatikane itakuaje? Au wakakaa mahabusu miaka 30 halafu wakaja kuachiwa huru kwa kuonekana hawana hatia itakuaje? Sheikh Salum haoni kama wenzake watakua wameteseka bila sababu? Sasa kwanini asiwasemee? Wanasheria wanasema "Justice delayed is justice denied", yani haki inayocheleweshwa ni haki iliyopotezwa.

Hawa masheikh wakiendelea kukaa mahabusu kwa miaka mingine zaidi na wakaja kukosekana na hatia it is justice denied. Ndio maana nilimpongeza Rais JPM alipomwambia Jaji Mkuu kwamba anapenda kuona kesi zikisikilizwa chapchap. Naamini na hii ya Masheikh itasikilizwa "chapchap" kama alivyoshauri Rais JPM (japo wameshasota miaka mingi sana ndani).

Je Sheikh Salum anajua kuna wenzie wanaoteseka huko magerezani? Wapo wanaodaiwa kudhoofika sana kiafya, wakiwemo akina Sheikh Fareed, Mselem na wengine. Nilitegemea kuona Sheikh Salum akipambana kwa ajili ya HAKI na USAWA kwa watanzania wote (wakiwemo masheikh walioko gerezani) na sio kupambana na Mange Kimambi. I stand to be corrected.!!

Malisa GJ
Hivi wafahamu kitu kiitwacho CHARACTER DEFAMATION? ...

By the way siamini kama utakaa kmya pale kama kiongozi either ktk familia ama jamii UNAPOTUKANWA tena MATUSI MAZITO ama KUHUSISHWA ktk TUHUMA ambazo zaweza leta matokeo HASI kwako ama kwa jamii ...
 
Mange Kimambi,naam.
Mwanamke aliyemtukuna Lowasa matusi yote ya nguoni na Chama tawala wakawa wanafurahia.
Mange Kimambi,mwanamke asiyeishiwa na vituko na hoja,matalakiwa na mama wa watoto watatu.
Sheikh,badala ya kuombea kichaa apone,umeshindana nae na sasa kichaa anamwaga yote, ya kweli na ya uongo.
Umeudhalilisha Uislamu,pima na chukua hatua!!!
 
Unataka kuwaambia nini Polisi kuhusu ishu ya yule Nabii mpendwa Titto?
 
Shekhe tulimwambia Da Mange ni mzinga wa nyuki

Sasa toka jana amechachamaa na kushusha tuhuma juu ya tuhumu. Kuna tuhuma haziandikiki na zingine zinaandikika

Kuna tuhuma imeshushwa ya shekhe wangu kutelekeza mtoto mzuri. Tuhuma ambayo ni kama shekhe kapigwa nganzi hajitokezi kujibu mapigo

Kibaya zaidi ni wabaya wa shekhe kumtumia Mange kumpasha shekhe. Kibaya tena shekhe amekosa watetezi kabisa na anaonekana kukurupuka au kutumiwa. Shekhe alitakiwa ajiulize jambo moja Mange ameshindikana na January,Siro,Bashite nk wenye dola sembuse yeye? Hakuna kama Da Mange sio size yake?

Halafu kule Marekani anachoandika Mange ni cha mtoto tu,aingine insta ya Trump aone wamarekani wanavyompa shit rais wao mubashara
 
Yaani ulichokiandika ni kinja hakifuniki hata makalio!
 
Sheikh amevuliwa nguo amebaki uchii km alivozaliwaa, ni hatari sana, asipowahi kumuomba msamaha Mange basi atazidi kuumbuka na huenda yy Ndio hataumaliza huu mwaka atakufa kwa depression!
Ningedhan mngemshaur huyo Mange aache MATUSI lingekuwa jambo la BUSARA ... badala yake naona mwazidi kumpa "promo" ili azidi kuendeleza MATUSI ... and you enjoy it ..
 
Dafa Mange anamwagika huko...! Sheikh anyooshe mikono
 
Hata kama mtu akisomewa ili adhurike huwa hawasomi kwenye Quran. Vipo vitabu maarufu kwa kazi hiyo.

Ndio lkn ni Quran. Quran ina elimu pana sana, uumbaji wote wa dunia upo ndani ya Quran. Sayansi yote ya dunia ipo kwenye Quran.
 
Ni kweli mkuu hayo uliyoyazungumza ni ndoto na tamaa ya kila muislamu kuskia kesi ya mashekh wazanzibar sio tu inasikilizwa lakini wanaachiwa huru kwa kutokutwa na hatia.

Ima hilo la kumsikia Alhad akizungumza juu ya mateso wanayokutaana nayo wenzie, miaka miambili hutomsikia hata siku moja, na wala sio katika matarajio ya wengi kulisikia hilo.

Alhad ni katika wanufaika wajuu kabisa wa mfumo huu wa tawala za CCM hapo ndipo mkate wake wa kila siku ulipo, huwezi kuskia akienda kinyume na wanaompa mkate wake.
Na huo ndio wasifu mdogo wa sheikh alhad
 
Ningedhan mngemshaur huyo Mange aache MATUSI lingekuwa jambo la BUSARA ... badala yake naona mwazidi kumpa "promo" ili azidi kuendeleza MATUSI ... and you enjoy it ..
Mwache awatie adabu hawa waharibifu aisee, tunawaamini kuwa ni watu wa Mungu kumbe ni mafirauni tu!
 
Ndio lkn ni Quran. Quran ina elimu pana sana, uumbaji wote wa dunia upo ndani ya Quran. Sayansi yote ya dunia ipo kwenye Quran.
Naelewa vijembe unavyotaka kumaanisha. Lakini pamoja na sayansi yote kjwa kwenye Quran imepiga marufuku uchawi.
 
SHEkhe mjanja mjanja tu yule mpigaji ..uso wake wenyewe umekaa kizinzi zinzi ..
aache kumsumbua da mange
 
Back
Top Bottom