Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Kuna watu wanakera sana, Emb angalia anachokifanya Mugalu humo ndani, alafu ukisema Unaonekana utopolo.

Hivi tunafanikiwaje msimu huu kwa forward aina ya Mugalu?
Sijui itakuwaje kwa hawa watu waliosajiliwa kwa club bingwa hawako serious aisee
 
Leo Simba tunabutua, tunategemea mipira mirefu ya Wawa kutafuta goli, hii ni ishara kwamba tumeshikwa kwenye idara ya kiungo!!

Ila nina imani tutasawazisha, ni suala la muda tuu
 
Narudia tena, mbadala wa wachezaji tuliowauza bado haujapatikana.Ukitaka kuamini angalia Sub zetu hapo nje ni nani anaekupa matumaini ya ku-deliver tulichokuwa tunakipata kwa Chama na Miquisone?

Njooni mniueeeee.
Gap la chama linaonekana huyu mugalu anakosa nafasi za wazi kabisa, club bingwa team isipojirekebisha tutatoka mapema, tangu nishuhudie ya tp mazembe nilijua tu hapa team yangu tumepata usajili mubovu
 
Kuna watu wanakera sana, Emb angalia anachokifanya Mugalu humo ndani, alafu ukisema Unaonekana utopolo.

Hivi tunafanikiwaje msimu huu kwa forward aina ya Mugalu?

Wasikutoleee Mood ya kufurahi Mkuu potezea, ila nimecheka ulivyomind kuitwa Utopolo ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23]polee
 
Hivi yangu huwa hawawezi kutulia wakacheza mpira? Kazi yao ni kupiga piga kupoteza mipira ..shida nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…