Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Simba day nilishihudia match live nikajua mwaka huu hatuna team kabisa aisee, hata washambuliaji holaTufungwe mara ngapi, huu mwaka tutakoma kama liteam lenyewe lipo hivi.
Kabisa inauma sana huyu Mugalu Kocha ana nini?Huyo ndio atamfukuzisha kocha
Kocha amtoe aingie matolaMugalu tena anakosa.
Forward ukipewa nafasi ya dhahabu itumie sio kwa Mugalu.Anapewa dhahabu nyingi anapoteza inauma sanaMugalu tena,huyu mbwa si wamtoe.
MmeishaJohn Bocco anapoteza sana mipira
Yupo benchi pale anafuga kipara na ndevu tu.Yule mganga aliye msema mpoki yu wapi jaman afanye mambo
Hata wao wanapenda iwe hivyo ila uwezo mdogo acha mfe nyau nyieWachezaji wa Simba wafanye jambo kutuokoa sisi mashabiki wa Simba,la sivyo hatutokaa kwa amani na kero za Uto.
Yani kuna watu Wana maudhi Sana mkuu, Naitwa utopolo ilhali sijawahi kuwa hata na vinasaba vya Yanga😂😂.Wasikutoleee Mood ya kufurahi Mkuu potezea, ila nimecheka ulivyomind kuitwa Utopolo ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23]polee
Atoke vipi ikiwa ndo mshika hirizi ya timuMugalu akitoka mechi Simba wanashinda akibaki mpaka mwisho Yanga wanashinda.
Kocha amtoe aingie matola