Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Yanga wajifunze kuwa watulivu wakiwa na mpira na watengeneze nafasi sasa Wana pressure utadhani ni fainali ya Caf.

Simba hawana mshambuliaji wa mwisho na wamepoteza uwezo wao wa kumiliki mpira yaani mpira biliani.
 
Mugalu akitoka mechi Simba wanashinda akibaki mpaka mwisho Yanga wanashinda.
 
Wachezaji wa Simba wafanye jambo kutuokoa sisi mashabiki wa Simba,la sivyo hatutokaa kwa amani na kero za Uto.
Hata wao wanapenda iwe hivyo ila uwezo mdogo acha mfe nyau nyie
 
Wasikutoleee Mood ya kufurahi Mkuu potezea, ila nimecheka ulivyomind kuitwa Utopolo ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23]polee
Yani kuna watu Wana maudhi Sana mkuu, Naitwa utopolo ilhali sijawahi kuwa hata na vinasaba vya Yanga😂😂.
 
Back
Top Bottom