Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Yanga wakishinda, Manara ana kifurushi cha wiki cha kutukeraPira letu la msimu uliopita limehamia Yanga, daah..!
Team inapigiwa pasi kama imesimama.
Tukisema tunaonekana ni utopolo, ila huu msimu utakuwa ni mgumu sana kwetu kama tusipobadilika.
Leo Manara atabwata sana kama Yanga itashinda.
Sisi tukipigwa ni refa anakuwa na mahaba flani kwa nyauSawa tu,ipo siku yenu na nyinyi.
Mganga matolamechi za simba na yanga zina mambo mengi mganga wa yanga
Haku, simba wamejifia wenyewe sihusiki.Mganga matola
MatokeoWell done Pascal Wawa
Wamjaribu kagere mzee wa power bank
sipati picha kwa HAJI atamaliza maneno yote ya mauziTupeni matokeo huko.
Ni dakika ya ngapi?
Nasikia mnyama bado hali ni tete.
Yanga wataongea sana wakishinda leo.