BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Endelea kuamin hewa.Bado naendelea kuamini 1-1 dk 90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuamin hewa.Bado naendelea kuamini 1-1 dk 90
Hahahahaha! na washika topazi tupo nyuma yakeYanga wakishinda, Manara ana kifurushi cha wiki cha kutukera
Endelea kuamin hewa.Bado naendelea kuamini 1-1 dk 90
Mkuu jipeni moyo moyo, hapa nna raha sana [emoji23][emoji482]Yaani leo Man Utd na Simba wametulaza mapema
Simba day nilishihudia match live nikajua mwaka huu hatuna team kabisa aisee, hata washambuliaji hola
Poleni sana, kutesa kwa zamu.Yaani Mungu tu asaidie ila naona zamu ya kulia imetufikia hatuna team!!!!
[emoji120]Kuimba kupokezana, hongereni watani Yanga mmestahili ushindi!!
Yaani kwa hii timu yetu hakuna tutakachofanya huu msimu. Imagine bocco hawezi hata kutuliza mpira. Wawa Kila akipata mpira anabutua mbele tu.Yaani Mungu tu asaidie ila naona zamu ya kulia imetufikia hatuna team!!!!