Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Ko MO ndio mwenye makosa?
Wakiwepo wote chama na Miq si tulipigwa na Yanga?
Uelewa wako wa mpira kiduchu sana.
 
Ko MO ndio mwenye makosa?
Wakiwepo wote chama na Miq si tulipigwa na Yanga?
Uelewa wako wa mpira kiduchu sana.
Hatukupigwa kwa pira biriani kama hili.

Ungekuwa na uwelewa juu ya mpira ingetosha kukushitua kuwa hatuna team ya ushindani msimu huu, angalia backline na forward zetu.

Me sijasema kama Mo anahusika, ila yeye binafsi furaha yake ni kuingiza pesa, wewe yako ni ipi?
 
Ameingiza pesa, umeambiwa kuna pesa imechotwa? au ile team unataka ijiendeshaje kama haiingizi hela ?....
Beki ni ile ile ...
Forwad ni ile ile.....
Wameondoka winga mmoja na kiungo mmoja. Unasema hauna team ya ushindani, aseee.
 
2 games hatujafunga goli hata moja[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…