Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mtaongoza kundi la singeli usijali ndugu kolo. ππHata mwaka Jana mlitufunga na prison, na ruvu shooting walitufunga lakini tulifika robo fainali, Tena tuliongoza kundi alilokuwepo ahly na as vita. Unalingine?
Wakianzaga porojo zao huwa tunawaangalia tu.
Halafu tunasema Hihihiiii. π π π
Nyie mnaongoza kundi la majimaji, gwambina na ihefu kwa Sasa.Mtaongoza kundi la singeli usijali ndugu kolo. [emoji3][emoji3]
Tumesajiri wachezaji wa kiwango cha chini, kilichopo tupambane tuwatoe Jwaneng Galaxy lakini kabla ya kuanza makundi CAFCL tuingie sokoni wakati wa dirisha dogo kama tunataka kushindana kwenye ligi tunazoshiriki.Si tulikubaliana kounate na banda ni watu na nusu.. ?
tunaahidi kuendelea kuwaridhisha nyie wake zetuNyie mnaongoza kundi la majimaji, gwambina na ihefu kwa Sasa.
Hahahaaa. Si ajabu akasahau hata njia ya kuelekea kwake. πππSasa ukute shabiki lia lia wa simba kachoma chanjo na bado wamefungwaππππππ
Manara tumekuachia Instagram kwa wiki nzima
Usikate tamaa mkuu. Hii timu bado ipo imara. Ngoja tuanze ligi.
Kumbuka tulikuwa na season ngumu sana. Haya maingizo mapya yanaipu pumzi timu pia.
Sema ni muda tu.. hii game kufungwa wala sio issue sana.
Yes dear jinsi simba ilivocheza na tp mazembe ndio hivo hivo imecheza Leo, bado hatuna washambuliaji wa kuleta impact mugalu hovyo kabisa aisee, team inahitaji kujifua kwelikweli
Baada ya mechi ndio unajitokeza
Simba imekuwa kwenye peak tangu 2017 unategemea kabisa timu kuwa kwenye recession ila bado itarudi kwenye peak tena hasa ukizingatia wachezaji waliosajiliwa ni vijana zaidi.Issue sio Game hii pekee, Game zote Simba walizocheza wapo chini ya kiwango Tusitegemee maajabu yoyote
Hamuogopi nyuki
Sawa mkuu. Subiri hapo hapo
Haya, Simba Sc ni bonge la team na leo imecheza vizuri sana hata zile mechi zote ambazo tumeshapoteza mpaka sasa tumebahatishwa tu.Eti wajanja.
Unaongea vitu havipo,umejawa na lawama bila sababu za msingi.
Eti backline msimu huu ni mbovu . ( Na hakuna aliyeondoka kwenye beki).
Forwad ( Hakuna forwad hata mmoja aliyeondoka)
Simba imekuwa kwenye peak tangu 2017 unategemea kabisa timu kuwa kwenye recession ila bado itarudi kwenye peak tena hasa ukizingatia wachezaji waliosajiliwa ni vijana zaidi.
Tutastruggle mechi tano ila baada ya hapo tutarudi kwenye form again.
Sinaga kiwango hicho cha uoga mtani.Baada ya mechi ndio unajitokeza
ππHamuogopi nyuki