Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Sasa ukute shabiki lia lia wa simba kachoma chanjo na bado wamefungwa😂😂😂😂😂😂
Wakianzaga porojo zao huwa tunawaangalia tu.

Halafu tunasema Hihihiiii. 😅😅😅
 
20210925_200001.jpg
 
Issue sio Game hii pekee, Game zote Simba walizocheza wapo chini ya kiwango Tusitegemee maajabu yoyote
Simba imekuwa kwenye peak tangu 2017 unategemea kabisa timu kuwa kwenye recession ila bado itarudi kwenye peak tena hasa ukizingatia wachezaji waliosajiliwa ni vijana zaidi.

Tutastruggle mechi tano ila baada ya hapo tutarudi kwenye form again.
 
Eti wajanja.
Unaongea vitu havipo,umejawa na lawama bila sababu za msingi.
Eti backline msimu huu ni mbovu . ( Na hakuna aliyeondoka kwenye beki).
Forwad ( Hakuna forwad hata mmoja aliyeondoka)
Haya, Simba Sc ni bonge la team na leo imecheza vizuri sana hata zile mechi zote ambazo tumeshapoteza mpaka sasa tumebahatishwa tu.

Kwasasa tujiandae Ili twende tukampge za kutosha Biashara United.
 
Back
Top Bottom