ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
SidhaniHii gemu Simba anashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SidhaniHii gemu Simba anashinda
Haya subiri uone mkuu🙂Mtatoka Uwanjani kwa kutafutana mjue [emoji3][emoji3]
Mkuu huoni hata hizi fauloHii simba hii useng mtupu. Msimu huu sion chochot
Subiri mda utaongeaAnashinda na njaa
Safi sana😂😂Anashinda na njaa
Mtapotea soonSafi sana😂😂
Hata Mimi natamani iwe hivyo ila kwa mziki wa bangala, yesu, juma, mayele, Faisal haiwezekani mkuuHii gemu inaisha simba bingwa
Unakumbukumbu nzuri ile mechi Bila ya mbeleko ya refa nyau alikuwa hatoki unakumbuka hilo piaNakumbuka mechi ya kwanza ligi kuu timu ya Ihefu walicheza kama Yanga.
Nyie ndiyo mtapoteana zaidi !twende kazi sasaMtapotea soon
Kweli MkuuUnakumbukumbu nzuri ile mechi Bila ya mbeleko ya refa nyau alikuwa hatoki unakumbuka hilo pia
Mimi nashinda hii game, nikifungwa kuna 100,000 ntakupa ,wewe utanipa nini nikiondoka na ndooNyie ndiyo mtapoteana zaidi !twende kazi sasa
Duh hongera kwa matumaini, ila kipigo kimeanza😀😀Hii gemu Simba anashinda
Ukipewa nitagKuna live stream yeyote inayoonyesha?