Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Yan swahiba tushazoea kujipigia mikia na ndio atushangilii sana na mikia washazoea kufungwa ndio maana awaumii sana,kikubwa kolokwinyo waendelee tu kuianzishia thread za kipropaganda hapa jf 😀
Mmezoea kujipigia au Yanga kazoea kukupiga, misimu miwili mfululizo katika ligi Yanga amechukua point 4 kwako na ndani ya miezi miwili mfululizo nimekutana na wewe mara tatu nimekupiga mara mbili na kwenye rekodi ya mda wote tunaongoza kukupiga.
 
Bwalya haipandishi tena timu awajaribu hawa.
1. Bernad Morrison
2. Erasto Nyoni
3. Sadio Sakho
4. Duncan Nyoni

Tunahitaji mtu wa kuiunganisha timu kutoka kwenye defence na ushambuliaji
Ubaya hii sheria ya saiv, wachezaji nane wa kigeni italeta tabu.....
Nafasi ya kubadilisha mbinu pale inapofeli, inakuwa hamna kwa wachezaji wetu wa kizawa.
Mfano.......akiwepo morrison na banda unaweza jaribu kutumia winger kutengeneza nafasi.
Huku ukiwa na Bwalya/Sakho kama namba 10.......
Hapo benchi unakuwa na nafasi moja tu ya mchezaji wa kigeni.
Either bwalya au sakho.
Unakosa nafasi ya kubadili mbinu zinapofeli.
mfano.... kumtumia Inonga kwenye 3-5-2.
Pia Kumtumia Duncan Nyoni na kagere haitowezekana.
Hii sheria waombe ibadilishwe itawarudisha Nyuma sana. (Muathirika ni Simba pekee, sidhani kama kuna team yenye wageni 12)
 
Back
Top Bottom