kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Wasubiri kipindi cha tatuNKANA Hawa amini bado wamelala uwanjani hahahahahahahahahahahahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasubiri kipindi cha tatuNKANA Hawa amini bado wamelala uwanjani hahahahahahahahahahahahahah
Pole sanaHuu mpira matusi ya nini?
ngoja tusome kwenye raman
Achana nae huyo Mkuu, haijui Simba when it comes to International matches.Rudi hapa mkuu uulize tena lile awali.Uliuliza nini tena?Nikumbushe!!!
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahWasubiri kipindi cha tatu
Goli la hela hilo kudadeki!Hili goli unaweza ombea mkopo world bank
Anko magu ajaribu kuwaconsult hawa simba tupate mkopo wa kujenga stija joji nyingine
Id yako ina jina zuri sana Dada..hongera kwa kua na amani.
Utahama mpaka uchokeHahaha hongereni sana mikia. Mtakutana na nani baada ya hapa?
Nataka nianze kuwa karibu nayo.
Yawezekana hajui kuwa huu mchezo hauhitaji hasiraHuu mpira matusi ya nini?
Usijali tuko Pamoja MkuuSawa mkuu, tatizo ni furaha.
Sina tabu Nashangaa huyo ananitukana nje ya utani wa kawaidaPole sana
Ulibeti nini mana nasikia kuna watu walibeti simba ikishinda wachukuliwe wake zao mana walikua wana uhakika simba hashindiLeo Nkana walichonifanyia sio kabisa