DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Sijawahi kubeti ki vyovyote mkuu. Sana simba imeniharibia weekendUlibeti nini mana nasikia kuna watu walibeti simba ikishinda wachukuliwe wake zao mana walikua wana uhakika simba hashindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kubeti ki vyovyote mkuu. Sana simba imeniharibia weekendUlibeti nini mana nasikia kuna watu walibeti simba ikishinda wachukuliwe wake zao mana walikua wana uhakika simba hashindi
Simara chukua bando la mwezi hpo nalipa vyura fc wameshaingia kulalaShukrani Mkuu
Bladshit this is simbaaWoyoooooo thank you so much Bwalyaaaaaaa
Goli 4Mnyama kanguruma Afrika, vyuraaa wote wakimbilia matopeni.
Nikumbusheni, TRIPLE C ana goli ngapi klabu bingwa?
Peleka ungese tu.Kama una uchungu nenda leba.Huu mpira matusi ya nini?
Mambo sasa, hebu kamata huyuKumaaaaaaaaaa ninaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaa
Utasubiri sana shwainHuko sasa ndio mwisho wao
Hahaha hajinyongi chura hata moja.Haya vyura fc nendeni mkajinyonge ndio imeshapenya iyo triple c kamaliza kazi kafeni kbsa uko mabondeni kuna chura jana kasema anahama jf hama kbsa mabingwa wa nchi tumefanya yetu
Hata leo zilikuwepo nyingi. Mmeshinda Angalieni hatua inayofuata ndiyo mpira huo. Sina shida na hilo. Nime mu mind mtu kanitukana nje ya utani wa kawaida.Mkuu habari bila shaka unayo..[emoji3][emoji3][emoji3] embu rudia kauli zako tangu Jana
Hii ndo Simba..
Ndo kapigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Zambia
Wamefungwa wazambia ila makapuku wa jangwani ndo wameumia zaidi