Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Refa kawabeba simba bila aibu yaelekea alipewa kitu na MO
 
Haya vyura fc nendeni mkajinyonge ndio imeshapenya iyo triple c kamaliza kazi kafeni kbsa uko mabondeni kuna chura jana kasema anahama jf hama kbsa mabingwa wa nchi tumefanya yetu
Hahaha hajinyongi chura hata moja.
Chura churani anakusubiria
 
CafCL Baada ya miaka 15, Tanzania inafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni baada ya Simba kuichapa Nkana FC mabao 3-1 katika mchezo wa maruadiano na hivyo kufuzu kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa wiki moja iliyopita nchini Zambia.

FT: Simba SC 3-1 Nkana FC (Agg: 4-3).
 
Mkuu habari bila shaka unayo..[emoji3][emoji3][emoji3] embu rudia kauli zako tangu Jana

Hii ndo Simba..
Hata leo zilikuwepo nyingi. Mmeshinda Angalieni hatua inayofuata ndiyo mpira huo. Sina shida na hilo. Nime mu mind mtu kanitukana nje ya utani wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…