Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Nnnnneeeeeeee!Injinia somaaaaaa hiyoooooooo
Hao Walianzia MbabaneHivi Kumbe Vyura FC ni Wazambia? Naona wameumia wao kuliko Nkana FC?
Wewe mama tu.Huniharibii furaha yangu.Hijo de puta
we chura ngapi hukoo??Hahaha ndimu inakamuliwa kwenye dafu. Inazuia malaria.
Chura hatoki hapa.
Najua mkishinda dar hakutalalika.
Nkana piga hao mikia fc
Mkuu Darmian: kunywa bili nakuja kulipaNgoja nikanywe bia sasa..
Hatuitaji pongezi zenu za kinafik wapongezeni nkanaMimi ni Yanga, nawapokezeni Simba, well done.
Daaaah kwaio mkuu krismas yako itakua murua kabisa na mama watoto hahaha Safi sanaaaPunda wa nyuma kapigwa mijeledi mitatu lakini ajabu anayelia ni punda wa mbele.
Vidomodomo kwisha.
Wakuu kama mnakumbuka nilisema nitaweka milioni 2 kuna chura aliingia mkenge. Ninakwenda kuchukua milioni zake 2.Mjinga mjinga.
Hesabu idadi ya ndimu kwenye avatar, toa ndimu moja. Ndo niliyoikamulia kwenye dafu baada ya Nkana kudungua kimoja mikia.we chura ngapi hukoo??
umeshamaliza sahani ngapi za ndimu?
Wewe ni nabii wa kweliSimba hafanyagi makosa haswa anapokuwa nyumbani hvyo Nkana wajiandae kisaikolojia maana naziona si chini ya 3
Habari yako mzee baba....Mpira hauchezwi mdomoni bali kwenye pitch, ina maana porojo za yule zeruzeru mnadhani zinafanyakazi uwanjani?