Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Punda wa nyuma kapigwa mijeledi mitatu lakini ajabu anayelia ni punda wa mbele.
Vidomodomo kwisha.
Wakuu kama mnakumbuka nilisema nitaweka milioni 2 kuna chura aliingia mkenge. Ninakwenda kuchukua milioni zake 2.Mjinga mjinga.
Daaaah kwaio mkuu krismas yako itakua murua kabisa na mama watoto hahaha Safi sanaaa
 
Kuna Kijigenge Flani ivi kutoka Kwenye Madimbwi Makubwa ya Kufugia Vyura Pale Jangwani eti Wanajiita Wazee Wa KimaWaTaifa lakini kazi yao ni kugawa mdondo tu kwa wanaume 😀 😀 😀 😀

IMG_20180507_142740.jpg
 
Back
Top Bottom