Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Ahahaaha we jamaa kama balimi ndio imekufanya hv inywe sana na kama ni ushabiki kwa chama leo nakupandisha cheo unakuwa general
 
Leo Simba wameifanya Jumapili iwe ya kipekee
Japo Nkana walitangulia kufunga hawakuamini katika kushindwa.
Goli la Mkude ni nadra washambuliaji wa kiTZ kuachia kombora la umbali ule kwa angle
ile.
Goli la Chama, du, Nkana hawatamsahau ndugu yao.
Simba wanazidi kudhihirisha kuwa wanaweza kubadili matokeo bila kujali umaarufu wa timu shindani. HONGERA SSC
 
Wenye Akili Ndiyo Tulijua Kuwa Simba Ushindi Lazima
Wale Mashabiki Wa Mbabane Walisema Hovyo
 
Lile kombora la Nyoni lingeingia, dunia ingesimama.
 
WANANCHI KWAO NI KAWAIDA....ILA KWA MAMBUMBUMBU ni mambo mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…