Nakuonane tu na mbwembwe zenu. Karibuni viporo
Vibaya mno mkuu. Leo sina usingizi kabisa
Ni mwaka ule wa Raja Casablanca.Mlivyofungwa na LΔ°BORO ilikuwa mwaka gani vile
Kwa hali hii huyo anaitwa VICTIM OF THE CIRCUMSTANCE!Nisamehe kamanda,mzuka ulipanda. Nikatafuta Yanga wa karibu ukawa wewe. Am sorry
Shadeeya nilimuona mtu kama wewe uwanjani ameshika na kupeperusha bendera ya Nkana japo nilishindwa kuona tofauti yake na ile ya SimbaHivi hujawaelewaga hawa hawajui nini maana ya utani wa jadi.
Yanga ilicheza sana makundi hamna kitu Kipya. Kumtoa Nkana ni mwanzo wa hatua nyingine.Naona mmejua kujazaana Watani zangu. Haya hongereni ila niseme tu bahati ilikuwa upande wenu na si kingine.
Sio kweli Kiongozi. That was deliberate. Lakini i have moved on.Kwa hali hii huyo anaitwa VICTIM OF THE CIRCUMSTANCE!
Ndio mimi aiseee. π Mliniharibia siku ujue nilipoona dkk ya 88 nikaona ndio basi tena. Ila hongereni bwana. Japo mwisho wenu unakaribia. ππShadeeya nilimuona mtu kama wewe uwanjani ameshika na kupeperusha bendera ya Nkana japo nilishindwa kuona tofauti yake na ile ya Simba
Ajabu mechi ilipoisha nataka kuja kukusalimu hata sijui ulichomokea njia gani aisee! Au uliondoka kabda ya kipenga cha refa?ππππππ
Yanga ilicheza sana makundi hamna kitu Kipya. Kumtoa Nkana ni mwanzo wa hatua nyingine.
Itakuwa wengi hawalijui hilo hakuna jipya pale. Ingekuwa haijawahi kutokea hapo sawa. Tusubiri tuone vigogo watakavyopangiwa navyo.Yanga ilicheza sana makundi hamna kitu Kipya. Kumtoa Nkana ni mwanzo wa hatua nyingine.
Mwisho wetu unakaribia wakati ndio kwanzaa kumekucha banaa. Vipi Yanga naskia mnaendelea na mechi zenu za kuwaonea dagaa kenye ligi isiyokua na mvutoNdio mimi aiseee. π Mliniharibia siku ujue nilipoona dkk ya 88 nikaona ndio basi tena. Ila hongereni bwana. Mwisho wenu unakaribia. ππ
Umefanya nicheke ujue. Sababu si kwa tambo hizi Ses. Haya mi nipo kuona jinsi kulivyokucha kama maneno yako yasemavyo.Mwisho wetu unakaribia wakati ndio kwanzaa kumekucha banaa. Vipi Yanga naskia mnaendelea na mechi zenu za kuwaonea dagaa kenye ligi isiyokua na mvuto
Sema yule jamaa Chota Chama hana adabu hata kidogo. Anamfungaje Mzambia mwenzie kwa dharau namna ile!!!?
Kinachofuata naona yule kipa wa Nkana ataenda polisi kwenye dawati la jinsia, si unajua magoli kama yale yanaangukia kwenye kifungu cha makosa ya unyanyasaji wa kijinsia? πππ
Hajar?Umefanya nicheke ujue. Sababu si kwa tambo hizi Ses. Haya mi nipo kuona jinsi kulivyokucha kama maneno yako yasemavyo.
Huu mwandiko mbona una fanana na ule? Hakika ni weweUmefanya nicheke ujue. Sababu si kwa tambo hizi Ses. Haya mi nipo kuona jinsi kulivyokucha kama maneno yako yasemavyo.
This is Simbaaaaaa, hahahahaaaaaUmefanya nicheke ujue. Sababu si kwa tambo hizi Ses. Haya mi nipo kuona jinsi kulivyokucha kama maneno yako yasemavyo.
Mkuu kwema?Mwisho wetu unakaribia wakati ndio kwanzaa kumekucha banaa. Vipi Yanga naskia mnaendelea na mechi zenu za kuwaonea dagaa kenye ligi isiyokua na mvuto
Sema yule jamaa Chota Chama hana adabu hata kidogo. Anamfungaje Mzambia mwenzie kwa dharau namna ile!!!?
Kinachofuata naona yule kipa wa Nkana ataenda polisi kwenye dawati la jinsia, si unajua magoli kama yale yanaangukia kwenye kifungu cha makosa ya unyanyasaji wa kijinsia? πππ
Unapotea sana kiongozi, au ulikua Zingibari?Mkuu kwema?
Ndo hivyo mkuu.Uuwiii
Kiongozi, uwakilishi hadi kumtoa Nkana mmeupata kwenye ligi hiyo hiyo isiyo na mvuto. Huwezi kuidharau.Mwisho wetu unakaribia wakati ndio kwanzaa kumekucha banaa. Vipi Yanga naskia mnaendelea na mechi zenu za kuwaonea dagaa kenye ligi isiyokua na mvuto
Sema yule jamaa Chota Chama hana adabu hata kidogo. Anamfungaje Mzambia mwenzie kwa dharau namna ile!!!?
Kinachofuata naona yule kipa wa Nkana ataenda polisi kwenye dawati la jinsia, si unajua magoli kama yale yanaangukia kwenye kifungu cha makosa ya unyanyasaji wa kijinsia? πππ