Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Hivi hujawaelewaga hawa hawajui nini maana ya utani wa jadi.
Shadeeya nilimuona mtu kama wewe uwanjani ameshika na kupeperusha bendera ya Nkana japo nilishindwa kuona tofauti yake na ile ya Simba

Ajabu mechi ilipoisha nataka kuja kukusalimu hata sijui ulichomokea njia gani aisee! Au uliondoka kabda ya kipenga cha refa?😀😀😀😛😛😛
 
Ndio mimi aiseee. 🙈 Mliniharibia siku ujue nilipoona dkk ya 88 nikaona ndio basi tena. Ila hongereni bwana. Japo mwisho wenu unakaribia. 😎😎
 
Yanga ilicheza sana makundi hamna kitu Kipya. Kumtoa Nkana ni mwanzo wa hatua nyingine.

Na ndio maana hawatupendi kwani tunavunja rekodi wasizoweza kuzifikia.

Wao ni watalii wa kimataifa ila sio kipambanaji.
 
Yanga ilicheza sana makundi hamna kitu Kipya. Kumtoa Nkana ni mwanzo wa hatua nyingine.
Itakuwa wengi hawalijui hilo hakuna jipya pale. Ingekuwa haijawahi kutokea hapo sawa. Tusubiri tuone vigogo watakavyopangiwa navyo.
 
Ndio mimi aiseee. 🙈 Mliniharibia siku ujue nilipoona dkk ya 88 nikaona ndio basi tena. Ila hongereni bwana. Mwisho wenu unakaribia. 😎😎
Mwisho wetu unakaribia wakati ndio kwanzaa kumekucha banaa. Vipi Yanga naskia mnaendelea na mechi zenu za kuwaonea dagaa kenye ligi isiyokua na mvuto

Sema yule jamaa Chota Chama hana adabu hata kidogo. Anamfungaje Mzambia mwenzie kwa dharau namna ile!!!?

Kinachofuata naona yule kipa wa Nkana ataenda polisi kwenye dawati la jinsia, si unajua magoli kama yale yanaangukia kwenye kifungu cha makosa ya unyanyasaji wa kijinsia? 😀😀😀
 
Umefanya nicheke ujue. Sababu si kwa tambo hizi Ses. Haya mi nipo kuona jinsi kulivyokucha kama maneno yako yasemavyo.
 
This is Simbaaaaaa, hahahahaaaaa

Uwanja ulifurika, rangi zilipendeza, kandanda lilifurahisha na zaidi ya yote matokeo yalipagawisha

Ni zawadi muruuuwa kabisa ya Krismass Shadeeya , ila niwape pole sana wana Nkana wa hiyari maana sio kwa kunyanyasika vile
 
Mwisho wetu unakaribia wakati ndio kwanzaa kumekucha banaa. Vipi Yanga naskia mnaendelea na mechi zenu za kuwaonea dagaa kenye ligi isiyokua na mvuto

Sema yule jamaa Chota Chama hana adabu hata kidogo. Anamfungaje Mzambia mwenzie kwa dharau namna ile!!!?

Kinachofuata naona yule kipa wa Nkana ataenda polisi kwenye dawati la jinsia, si unajua magoli kama yale yanaangukia kwenye kifungu cha makosa ya unyanyasaji wa kijinsia? 😀😀😀
Mkuu kwema?
 
Kiongozi, uwakilishi hadi kumtoa Nkana mmeupata kwenye ligi hiyo hiyo isiyo na mvuto. Huwezi kuidharau.
 
Back
Top Bottom