DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Nimewashangaa sana. Kwanza wao wenyewe watapungukiwa mtani mmoja nikijinyongaHivi unaanzaje kujinyonga kwa vitu vya kupita. 🤣🤣🤣🤣
Hata jana nilisikia sehemu kuna majamaa wanasema eti ligi haina mvuto eti wametuachia tupambane na Mbao sijui Biashara United. Nawaza tu inamaana wakitolewa watafikaje tena huko ikiwa wanaidharau hii ligi ya kwetu.Kiongozi, uwakilishi hadi kumtoa Nkana mmeupata kwenye ligi hiyo hiyo isiyo na mvuto. Huwezi kuidharau.
Bado naipenda tu mkuu.Ipende tenaaaaa
Bwahahahahahaaaa
Ndio hapo sasa. 😂😂😂Nimewashangaa sana. Kwanza wao wenyewe watapungukiwa mtani mmoja nikijinyonga
Aisee nimecheki clip tena, kumbe huyo jamaa nayemsema hapa aliyefanya kuanzisha faulo fasta fasta Nkana wakimzonga refa ni Chama. Jamaa ni balaa.HD nae wa kupongezwa jamani, alimpeleka maboya jamaa hata mimi nikajua atapiga cross raundi ya kwanza kumbe akamtisha jamaa akajaa, akatoa pande kwa chama. In short, hivi vitu eamevifanyia mazoezi! Kuna yule aliyekuwa sharp kuanzisha faulo jamaa wakiwa bado wanashangaa. Hapa ndio tunaona mpira sio kupiga piga tu bali quick thinking.
Hahaha nipo tu mkuu!,,, ila huyu sio naniliu? Ule mwandiko wake hapo juu, embu nijuze!Unapotea sana kiongozi, au ulikua Zingibari?
Mmh. Hivi Nkana alinyanyasika kweli. Wakati mwishoni mlipoteana vibaya vibaya. Mshukuruni tu huyo Chama.This is Simbaaaaaa, hahahahaaaaa
Uwanja ulifurika, rangi zilipendeza, kandanda lilifurahisha na zaidi ya yote matokeo yalipagawisha
Ni zawadi muruuuwa kabisa ya Krismass Shadeeya , ila niwape pole sana wana Nkana wa hiyari maana sio kwa kunyanyasika vile
Hivyo hujalala kabisaaa?Ndo hivyo mkuu.
Lakini ya mwaka huu imetia fora kwa kua ya hovyo. Timu zetu zinajulikana hali zake kifedha, halafu TFF kwa makusudi wakawakorofisha Voda kwa kuongeza timu kunyume na makubaliano, matokeo yake timu haziwezi kujihudumia ipasavyo na timu kubwa zinajipigia tu zitakavyo na kuchukua point za bureKiongozi, uwakilishi hadi kumtoa Nkana mmeupata kwenye ligi hiyo hiyo isiyo na mvuto. Huwezi kuidharau.
Simba tulipoteana tena!? Hebu apiaMmh. Hivi Nkana alinyanyasika kweli. Wakati mwishoni mlipoteana vibaya vibaya. Mshukuruni tu huyo Chama.
Du! Ni sawa na kusema Simba inawakilisha Afrika ya Mashariki! 'Ukiteseka utaumia bure'Licha ya kuwa na timu maelfu hapa afrika, hizi ndio timu bora aka top 16 za Afrika.
Simba Sc
Asec Memosas
Al Ahly
AS Vita
Saoura (Algeria)
Club Africain
Al Nasri (Libya
Mamelod
Platinum
Constatine
Mazembe
Orlando pirates
Lobi
Cotton
Jarafu
Ila bado hujasema Ses hivyo nyie ni zao la Ligi mbovu?Lakini ya mwaka huu imetia fora kwa kua ya hovyo. Timu zetu zinajulikana hali zake kifedha, halafu TFF kwa makusudi wakawakorofisha Voda kwa kuongeza timu kunyume na makubaliano, matokeo yake timu haziwezi kujihudumia ipasavyo na timu kubwa zinajipigia tu zitakavyo na kuchukua point za bure
Niapie tena wakati ilionekana? Msingepata lile goli ndani ya dkk 90 hizi tambo zisingekuwepo leoSimba tulipoteana tena!? Hebu apia
Kumbe uliona! Ilikuwa nani yule? Sikuamini kama kuna wabongo wa naweza usharp ule!HD nae wa kupongezwa jamani, alimpeleka maboya jamaa hata mimi nikajua atapiga cross raundi ya kwanza kumbe akamtisha jamaa akajaa, akatoa pande kwa chama. In short, hivi vitu eamevifanyia mazoezi! Kuna yule aliyekuwa sharp kuanzisha faulo jamaa wakiwa bado wanashangaa. Hapa ndio tunaona mpira sio kupiga piga tu bali quick thinking.
Mbona hujajibu pale juu?Niapie tena wakati ilionekana? Msingepata lile goli ndani ya dkk 90 hizi tambo zisingekuwepo leo
Ya mwaka huu imezidi kwa ubovu, timu ndogo hazina pesa maana mdhamini kakorofishwa na TFF. Sasa hapo Yanga wanajiokotea point kutoka kwa wachovu basi mnajiona mna booonge la timu kumbe mnawaonea vijana wenye njaa maskini, dah!Ila bado hujasema Ses nyie sio zao la Ligi mbovu?
Hizi timu ndio simba inatakiwa kushindana nazo, sio hawa wa matopeni. Sasa tupo kwenye ligi inayoendana na sisi.Du! Ni sawa na kusema Simba inawakilisha Afrika ya Mashariki! 'Ukiteseka utaumia bure'