Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Kiongozi, uwakilishi hadi kumtoa Nkana mmeupata kwenye ligi hiyo hiyo isiyo na mvuto. Huwezi kuidharau.
Hata jana nilisikia sehemu kuna majamaa wanasema eti ligi haina mvuto eti wametuachia tupambane na Mbao sijui Biashara United. Nawaza tu inamaana wakitolewa watafikaje tena huko ikiwa wanaidharau hii ligi ya kwetu.
 
HD nae wa kupongezwa jamani, alimpeleka maboya jamaa hata mimi nikajua atapiga cross raundi ya kwanza kumbe akamtisha jamaa akajaa, akatoa pande kwa chama. In short, hivi vitu eamevifanyia mazoezi! Kuna yule aliyekuwa sharp kuanzisha faulo jamaa wakiwa bado wanashangaa. Hapa ndio tunaona mpira sio kupiga piga tu bali quick thinking.
Aisee nimecheki clip tena, kumbe huyo jamaa nayemsema hapa aliyefanya kuanzisha faulo fasta fasta Nkana wakimzonga refa ni Chama. Jamaa ni balaa.
 
This is Simbaaaaaa, hahahahaaaaa

Uwanja ulifurika, rangi zilipendeza, kandanda lilifurahisha na zaidi ya yote matokeo yalipagawisha

Ni zawadi muruuuwa kabisa ya Krismass Shadeeya , ila niwape pole sana wana Nkana wa hiyari maana sio kwa kunyanyasika vile
Mmh. Hivi Nkana alinyanyasika kweli. Wakati mwishoni mlipoteana vibaya vibaya. Mshukuruni tu huyo Chama.
 
Kiongozi, uwakilishi hadi kumtoa Nkana mmeupata kwenye ligi hiyo hiyo isiyo na mvuto. Huwezi kuidharau.
Lakini ya mwaka huu imetia fora kwa kua ya hovyo. Timu zetu zinajulikana hali zake kifedha, halafu TFF kwa makusudi wakawakorofisha Voda kwa kuongeza timu kunyume na makubaliano, matokeo yake timu haziwezi kujihudumia ipasavyo na timu kubwa zinajipigia tu zitakavyo na kuchukua point za bure
 
Mkude aka MTOTO WA MFALME awageuzia kibao Nkana kwa kuingia uwanjani na staili yao.
20181224_072936.png
 
Licha ya kuwa na timu maelfu hapa afrika, hizi ndio timu bora aka top 16 za Afrika.

Simba Sc
Asec Memosas
Al Ahly
AS Vita
Saoura (Algeria)
Club Africain
Al Nasri (Libya
Mamelod
Platinum
Constatine
Mazembe
Orlando pirates
Lobi
Cotton
Jarafu
Du! Ni sawa na kusema Simba inawakilisha Afrika ya Mashariki! 'Ukiteseka utaumia bure'
 
Lakini ya mwaka huu imetia fora kwa kua ya hovyo. Timu zetu zinajulikana hali zake kifedha, halafu TFF kwa makusudi wakawakorofisha Voda kwa kuongeza timu kunyume na makubaliano, matokeo yake timu haziwezi kujihudumia ipasavyo na timu kubwa zinajipigia tu zitakavyo na kuchukua point za bure
Ila bado hujasema Ses hivyo nyie ni zao la Ligi mbovu?
 
HD nae wa kupongezwa jamani, alimpeleka maboya jamaa hata mimi nikajua atapiga cross raundi ya kwanza kumbe akamtisha jamaa akajaa, akatoa pande kwa chama. In short, hivi vitu eamevifanyia mazoezi! Kuna yule aliyekuwa sharp kuanzisha faulo jamaa wakiwa bado wanashangaa. Hapa ndio tunaona mpira sio kupiga piga tu bali quick thinking.
Kumbe uliona! Ilikuwa nani yule? Sikuamini kama kuna wabongo wa naweza usharp ule!
 
Du! Ni sawa na kusema Simba inawakilisha Afrika ya Mashariki! 'Ukiteseka utaumia bure'
Hizi timu ndio simba inatakiwa kushindana nazo, sio hawa wa matopeni. Sasa tupo kwenye ligi inayoendana na sisi.
Alafu zikitokaga takwimu za timu bora afrika Simba ikiwekwaga juu kabisa ya wa matopeni watu wanajiuliza mbona haijashiriki miaka kadhaa kimataifa, inaposhiriki hiki ndio hutokea. Hucheza na timu hizi kubwa sio shirikisho tu.
 
Back
Top Bottom