Hahahaa. Hii naisikia kwako hivyo hata nyie mnavyopata point toka kwa timu za kichovu hampaswi kushangilia eee?Ya mwaka huu imezidi kwa ubovu, timu ndogo hazina pesa maana mdhamini kakorofishwa na TFF. Sasa hapo Yanga wanajiokotea point kutoka kwa wachovu basi mnajiona mna booonge la timu kumbe mnawaonea vijana wenye njaa maskini, dah!
Alafu timu hizo hizo zikicheza na Simba zinaikamia Simba maana zinajua kwa kucheza na Simba basi zinacheza na timu kubwa. Zinakuwa zinaamini zinacheza na kina Esperance, al ahly, Asec Mimosa, Mamelod Sundown, Mazembe ila kupitia Simba.Ya mwaka huu imezidi kwa ubovu, timu ndogo hazina pesa maana mdhamini kakorofishwa na TFF. Sasa hapo Yanga wanajiokotea point kutoka kwa wachovu basi mnajiona mna booonge la timu kumbe mnawaonea vijana wenye njaa maskini, dah!
Naiona bili 2.1 inafuata.MPUNGA WA KLABU BINGWA AFRICA UPO HIVI
Makundi - 1.2billion
Robo fainal - 2.1billion
Nusu fainal - 4.0billion
Mshindi wa 2 - 5.0billion
Bingwa - 6.1billion
TAYARI SIMBA SC 1.2bilion YAO
MPUNGA WA KLABU BINGWA AFRICA UPO HIVI
Makundi - 1.2billion
Robo fainal - 2.1billion
Nusu fainal - 4.0billion
Mshindi wa 2 - 5.0billion
Bingwa - 6.1billion
TAYARI SIMBA SC 1.2bilion YAO
Tusingepata vipi goli wakati mipango ya kulitafuta ilikua inasukwa na wataalam kina Chama na Mkude? Yaani Shadeeya unadhani goli lilikuja kwa bahati nasibu?Niapie tena wakati ilionekana? Msingepata lile goli ndani ya dkk 90 hizi tambo zisingekuwepo leo
Alikuwa TRIPPLE C, kaanzisha faulo fasta kisha akaenda imalizia.Kumbe uliona! Ilikuwa nani yule? Sikuamini kama kuna wabongo wa naweza usharp ule!
ule mpira aliuanza chama mwenyewe.... Yaani amekua CLATOUS CHOTA CHAPCHAP CHAMAAAAA......Kumbe uliona! Ilikuwa nani yule? Sikuamini kama kuna wabongo wa naweza usharp ule!
Ni Tshs ila kwa sisi sio pesa, ni kuwakilisha nchi inavyostahili. Hii pesa huwa tunaitumia hata kwenye usajili, tena ya usajili inazidi. Pesa hizo tutawasaidia yanga kidogo za usajili na kuendesha timu.Hii pesa ni dollar Au Tsh?
Hahahaaa sawasawa kabisa mkuu. Wanakua wanapania kupita mmaelezoAlafu timu hizo hizo zikicheza na Simba zinaikamia Simba maana zinajua kwa lucheza ma Simba basi zinacheza na timu kubwa. Zinakuwa zinaamini zinacheza na kina Esperance, al ahly, Asec Mimosa, Mamelod Sundown, Mazembe ila kupitia Simba.
Hata mimi nilitaka kukushauri.Umesomeka vizuri.
Kweli jamaa ni shida, kule Zambia walimdhibiti hapa ameteleza mbaya huko kwao watamjadili wiki nzima!!!ule mpira aliuanza chama mwenyewe.... Yaani amekua CLATOUS CHOTA CHAPCHAP CHAMAAAAA......
Haya bwana. Nasubiri nione yajayo.Tusingepata vipi goli wakati mipango ya kulitafuta ilikua inasukwa na wataalam kina Chama na Mkude? Yaani Shadeeya unadhani goli lilikuja kwa bahati nasibu?
Ungeniuliza kabda ya mechi ningekwambia nenda kabeti na kama mkeka ungechanika ningekurudishia mara mia ya ulichoweka
Jamaa wajinga sana.Aisee nimecheki clip tena, kumbe huyo jamaa nayemsema hapa aliyefanya kuanzisha faulo fasta fasta Nkana wakimzonga refa ni Chama. Jamaa ni balaa.
Tena yajayo yanafurahisha ila kwenu yatasikitishaHaya bwana. Nasubiri nione yajayo.
Aaah. WappiTena yajayo yanafurahisha ila kwenu yatasikitisha