Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Hii naisikia kwako hivyo hata nyie mnavyopata point toka kwa timu za kichovu hampaswi kushangilia eee?Ya mwaka huu imezidi kwa ubovu, timu ndogo hazina pesa maana mdhamini kakorofishwa na TFF. Sasa hapo Yanga wanajiokotea point kutoka kwa wachovu basi mnajiona mna booonge la timu kumbe mnawaonea vijana wenye njaa maskini, dah!