Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Hilo soka la kizamani lilikua linatuponza sana Wabongo enzi zile Waarabu walikua wanatusumbua kwenye soka

Eti wachezaji wetu walikua wanasubiri firimbi ya refa tu muda wote wakati warabu ikiwekwa tu faulo wanaanza fasta, wanatufunga na refa anaweka kati, lazima uwena mbinu za kucheza kimataifa jombi
hakuna sheria inayo sema ivo, mpira uanze kabla ya maamuzi ya refa ingekua ivo basi goli zingekua nyingi sana kwenye soka. kilicho fanyika ni mahaba ya refa baada ya kuona mambo ni magumu

vp nkana hawajui kurusha mipira hadi walipo fikia hapa.
 
Kwa mujibu wa Bi Hindu ni kwamba kujamiiana na mke wa mtu ndio tendo aghali zaidi... Kweli utu uzima dawa
IMG-20181224-WA0011.jpeg
 
Nashangaa eti wanakazi ya kuambiana Chama ana akili kwa kufanya alichokifanya wakati inaonyesha dhahiri refa ndio kawabeba.
yaani jamaa wanafurahisha sana, tangu dk ya 1 refa alionesha mahaba yaani nkana hawajui kurusha yaani nkana hawajui kujipanga faulo

refa mahaba tangu mwanzo
 
Mmh. Hivi Nkana alinyanyasika kweli. Wakati mwishoni mlipoteana vibaya vibaya. Mshukuruni tu huyo Chama.
Hivi utumshukuru baba kwa kukuletea nguo wakati ni wajibu wake chama hatumsifu ila ndio kazi ilio mleta Simba, we ulifikiri alikuja kuimba singeli kama ajibu?

Amefanya sehem ya kazi yake na sisi tunaipongeza simba kwa ujumla
 
Mkuu hata mimi nashangaa. Eti Kessy kasema ha ha ha ha Kessy ni nani?

Kwanza aliwadanganya Nkana kuwa Simba ni wepesi kufungika[emoji3][emoji3]
kessy ni mchezaji wa kimataifa wa nkana fc aliye ikimbiza beki mbovu ya nyau fc
 
Sasa wale tuliofuzu nao ndio kiwango chetu, ndio watu tunaweza kaa nao meza moja..sio kuwafunga Ruvu Shooting halafu mnajiona mna booonge la tmu, hhahahaa
Maneno hayo Sesten usije kuyakataa hasa pale utakapojiona katika uliopangwa nao we ndio unakuwa mshika mkia.
 
yaani jamaa wanafurahisha sana, tangu dk ya 1 refa alionesha mahaba yaani nkana hawajui kurusha yaani nkana hawajui kujipanga faulo

refa mahaba tangu mwanzo
Usiseme Nkana hawajui kurusha
Sema kessy ndio hajui kurusha
Mipira yote ya kurusha amepoteza yeye
 
Hivi utumshukuru baba kwa kukuletea nguo wakati ni wajibu wake chama hatumsifu ila ndio kazi ilio mleta Simba, we ulifikiri alikuja kuimba singeli kama ajibu?

Amefanya sehem ya kazi yake na sisi tunaipongeza simba kwa ujumla
Hii ndio shida yenu Watani zangu. Haya bana hakuja kuimba Singeli.
 
Back
Top Bottom