nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Umeeleza vyema kabisa na kama wanaangalia zile kosa kosa za nkana kua ndio udhaifu wa beki zetu, basi ujue nkana hawana beki, maana sisi ndio tumewakosa kosa mala nyingi.Jibu nilivyokuliza..Unaipima beki kwa kosa moja, embu angalia takwimu TPL idadi ya magoli ni machache kuliko timu zote.
Na wakati na Mbabane Swallows goli 8 mbona hamkusema, Kocha ndo mwenye kujua mapungufu sio Kessy wako
By the way hakuna timu ambayo inakamilika asilimia 100% ingekuwa hivyo hakuna kufungana.